Soko la kuku aina ya kuchi

Qj_

Senior Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
157
Reaction score
155
Kwa anae hitaji kuku aina ya Kuchi anaweza akani PM ili tuweze kufanya biashara, kwa huku Geita vijijini wapo wengi sana kuku wa aina hii.
 
unetusaidia picha na bei ili tujipime
 
Picha ndiyo kila kitu
 
Kwa anae hitaji kuku aina ya Kuchi anaweza akani PM ili tuweze kufanya biashara, kwa huku Geita vijijini wapo wengi sana kuku wa aina hii.
Mkuu hao Kuchi mimi nitawapataje, kama vip njoo PM
 
duh shs25000? nahitaji km vp ma koo nayo bei gn?
 
Kwa anae hitaji kuku aina ya Kuchi anaweza akani PM ili tuweze kufanya biashara, kwa huku Geita vijijini wapo wengi sana kuku wa aina hii.
Mbona afya mbaya Mkuu weka picha nyingine ndo hivyo kweli naona shingo na miguu au ni kwa ajili ya urembo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…