Ee, manunuzi kwa hawa kaymu {online market} yamekaajee?....k
Nililipia yani niliamua kutumia mwanajesh wangu mmojs tukamtia nguvuni huyo dalali ili kupata ela yangu,,,
Hee kumbe ndo ilivyo...kwel Bongo yetu bado sana.Kaymu sio salama,wanaojitangaza wanauza wengi wao ni madalali hata ofic hawana,mie nilinunua simu yani ikawa ni shida kuipata,nimepeleka complain kwenye website yoa hakuan follow up..sikushauri kabisa
Kaymu sio salama,wanaojitangaza wanauza wengi wao ni madalali hata ofic hawana,mie nilinunua simu yani ikawa ni shida kuipata,nimepeleka complain kwenye website yoa hakuan follow up..sikushauri kabisa
Huenda ni kweli lakini mm nilitembelea https://www.jumia.co.tz/ ambayo nayo iko sponsored na Tigo niliona bei zao ziko fair ukilinganisha na maduka yetu haya...Hii inanambia labda sio madalali kama unavyodai
Na siku zote katika biashara ya mtandaoni lazima kuwepo drawbacks mfano hata eBay kati ya manunuzi yako 99% yanaweza yawe poa lakini 1% tena ile ya kwanza ndo haiko poa
Hivo usiwashauri watu wasijaribu labda tu kama umenunua vitu huko zaidi ya 3 na kupanda juu
Huenda ni kweli lakini mm nilitembelea https://www.jumia.co.tz/
Iyo mara 3 ndo Gold standard ya kudisqualify kitu/service??ivi mtu akiwa na mgonjwa akampeleka hospital akafaroki kwa uzembe unategemea atakwambia nini?au mpaka wafe watatu?ivi mpaka ulizwe mara tatu ndo ujue kuna shida???sorry to say that what you threw here is average thinking......
Ulifanya na manunuzi kabisa na ukapata mzigo fresh?
Njia rahisi ambayo mm huwa natumia katika manunuzi ya mtandaoni naanza na kitu cha bei rahisi ambacho hata nkipigwa sitoumia mfano nanunua bidhaa ya 10,000/=Nishapitisha macho TU, ndo kabla ya kuagizia nikaamua kuja humu kuuliza wenye uzoefu nayo nsije kuliwa kingi
Njia rahisi ambayo mm huwa natumia katika manunuzi ya mtandaoni naanza na kitu cha bei rahisi ambacho hata nkipigwa sitoumia mfano nanunua bidhaa ya 10,000/=
Hii inanipa experience na kujua protocol zinazofuatwa mpaka mzigo unifikie