Soko la Hisa Dar es salaam

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
322
184
Nifuatiliaje mzuri sana wa soko la Hisa la Dar es Salaam.Naona kwa muda awa miaka miwili kumekuwa na kuanguka sana kwa bei nyingi za Hisa ya makampuni yaliyoko kwenye soko.
Sijui haswa ni nini kinasababisha huo mporomoko wa bei, na vile vile kwa wale wanaojua je kuna uwezekano kweli wa bei kupanda.
KWANINI NINI HISA ZINAZIDI KUPOROMOKA BEI ?NINA HISA ZA DCB NATAKA NIZIWEKE SOKONI AU NDIO HASARA?
Na pili kwenye website yao huwa wanaweka ripoti za siku lakini kwa sisi Layman tunatoka kapa yaani hatuewelewi ni kinashoonyeshwa kwenye hizo ripoti,kama kuta wataaluma tusaidieni kusoma hizo ripoti kusaidia kufanya maamuzi
 
Kupanda na kushuka kwa bei ya hisa ni kawaida ila digits zikizidi ndio tatizo ila ukiona bei ya hisa zenu zinaporomoka bei frequently ujue profits making is beyond some margins.
 
DSE iko very influenced by political leaders ingawa masoko mengi kama NSE, BSE, JSE LSE yako pia lakini hili la kwetu mmm linafluctuate kadri serikali inavyotaka. Ushindani sawa wa kibiashara haupo, hapa ni kucheza na siasa pia. Ukisikia mkuu anawapa shavu kampuni fulani wewe lala mbele huko huko.
 
So, DSE inasuasua kiasi cha kufifisha faida za wateja wake?
Nifahamisheni wadau?
 
Uwekezaji kwenye solo la DSE ni hasara sana natoa mfano hisa za DCB zimeporomoka toka tshs 700 mpk tshs 340 ndani ya miaka mitatu. Hawajatoa gawio miaka mingi ame sioni kama kuna trend nzuri mbeleni maana hata kuuzika haziiuziki sokoni yuan ni mbaya tu
 
Back
Top Bottom