Soko la HIMARS lazidi kupaa

Soko la HIMARS lazidi kupaa

Kwanza huyo kakosea, HIMARS ni product ya Lockheed Martin.

Hao jamaa wanaproduce kutokaana na mahitaji ya USArmy na Pentagon
Kwa Sasa mahitaji yamekuwa mengi kutoka washirika wa NATO kama Poland, Finland..
 
Ni suala la muda tu, pamoja na jinsi NATO/US watakavyo ji-conduct 2 wards Russia ndani ya miezi michache ijayo - kama NATO/US wataendelea kug'ang'ania kuitumia Ukraine ipigane a proxy war on behalf of US/EU kwa lengo la kutaka kuidhoofisha Russia kijeshi na kuihujumu kiuchumi - basi Ukraine ikae ikitambua kwamba ili Urusi iweze kukomesha mchezo wa Ukraine kuendelea kutumiwa na mataifa ya magharibi kuihujumu kijeshi na kiuchumi, ili kukomesha mchezo huu wenye lengo la kuhatarisha amani ya kudumu chini Urusi - basi, Urusi italazimika kuchukua hatua za kui-annex Ukraine Urusi uwezo huo wanao sana, hawajahamua tu.

Urusi ikihamua kufanya hivyo basi tuone kama US pamoja na majigambo yao ya kila siku kama watahamua kuingia WW3 kwa lengo la kutaka kuisaidia Ukraine au continental Europe dhidi ya Urusi, swali ni, je, USA na like mind wenzake ujasiri wa kukabiriana na Russia kwenye latest thermonuclear technology na lightening fast delivery systems,je, systems hizo USA wanazo kweli au bado wanaendelea kuamini ICBMS za miaka ya 1970/80 (Minuteman na SBL Tridents) the USA yester technology which still allows to approach a target using stone age era technology ie the approach to any target are highly predictable ballistic trajectory which can be brought down by any no nosense Russian S-400/500/550 integrated air defense systems Russian stuff won't spare MRIV of Course they too. shall face same Russian classical music

Huyo Urusi kama asingeivamia Ukraine yote hayo yasingemkuta,hivyo kajitakia mwenyewe.
Narudia tena Urusi hana ubavu wa kuiannex Ukraine yote kwa hali aliyonayo sasa,jamaa anaenda kuomba silaha mpk Iran na North Korea ndo awe na uwezo wa kukamata nchi yenye 600k km²?! Waanze Kwanza kuiannex Ile Donbass yote waliyosema ni sehemu ya Urusi tuone kama wana huo ubavu.

Yani serious kabisa unasema Marekani ina Teknolojia ya zamani?! Hivi unaijua Trident II vizuri wewe,kombora linabeba vichwa 12 vya nyuklia kila kichwa kinaweza kupiga sehemu tofauti unaita Teknolojia ya zamani!!!!!? Halafu usichokijua ni kwamba 70% ya silaha za vita za Marekani zipo kwenye nyambizi (Ohio nuclear Sub) ambazo zinabeba hizo Trident.

Hizo S400 zimefanya maajabu gani kwenye hii vita,kama zinashindwa kutungua ndege za kizamani za Ukraine ndo zitaweza kutungua Makombora ya kisasa ya Marekani?! Himars inawatoa kamasi ije kua ICBM,aaah bro embu kua serious!

Ingekua ni rahisi kama unavyoeleza huyo Mrusi angekua kashaipiga Marekani Kwa hizo nyuklia zake siku nyingi Sana ila anaelewa ni nini kitamkuta endapo atathubutu kufanya hivyo.
 
Mambo mengine ni kutumia logic ya kawaida hata fuzz logic nayo ni bora kwa masuala mengine--juzi,juzi hapa Urusi ilitumia less than a week kusambaratisha critical Ukraine infrastructures hivi sana maeneo mengi hawana maji wala umeme - lakini uwendawazimu wa Zelensky anadanganywa na wafadhili wake kwamba aendeleee na vita tu mpaka Damu ya mwisho yeye anakubali huo kama zezeta - hajali chochote idadi ya Waukraine wanao kufa kwa sababu us ego yake na ubishi WA kijinga,, kama angekunali ku-implement 12 points za MInsk2 accord wala vita hii hisingetokea -lakini US na UK walimshininiza ampuuzie Putin huku wakijua wazi kwamba hilo lingesababisha vita - Leo wanamlahumu Putin lakimi hawasemi walio sababisha vita hii ni UK na USA, Zelensky anatumika tu na wala hajitambui!!

Kaka Urusi imeanza kushambulia miundombinu ya Ukraine tangu September lkn mpk Leo Umeme upo japokua ni wa mgao. Ingekua ana hizo nguvu unazosema Leo hii Ukraine ingekua Giza totoro kama Nyantilili
 
Huyo Urusi kama asingeivamia Ukraine yote hayo yasingemkuta,hivyo kajitakia mwenyewe.
Narudia tena Urusi hana ubavu wa kuiannex Ukraine yote kwa hali aliyonayo sasa,jamaa anaenda kuomba silaha mpk Iran na North Korea ndo awe na uwezo wa kukamata nchi yenye 600k km²?! Waanze Kwanza kuiannex Ile Donbass yote waliyosema ni sehemu ya Urusi tuone kama wana huo ubavu.

Yani serious kabisa unasema Marekani ina Teknolojia ya zamani?! Hivi unaijua Trident II vizuri wewe,kombora linabeba vichwa 12 vya nyuklia kila kichwa kinaweza kupiga sehemu tofauti unaita Teknolojia ya zamani!!!!!? Halafu usichokijua ni kwamba 70% ya silaha za vita za Marekani zipo kwenye nyambizi (Ohio nuclear Sub) ambazo zinabeba hizo Trident.

Hizo S400 zimefanya maajabu gani kwenye hii vita,kama zinashindwa kutungua ndege za kizamani za Ukraine ndo zitaweza kutungua Makombora ya kisasa ya Marekani?! Himars inawatoa kamasi ije kua ICBM,aaah bro embu kua serious!

Ingekua ni rahisi kama unavyoeleza huyo Mrusi angekua kashaipiga Marekani Kwa hizo nyuklia zake siku nyingi Sana ila anaelewa ni nini kitamkuta endapo atathubutu kufanya hivyo.
Msamehe bro; kauli imemtoka bila kushirikisha ubongo sawa sawa.
 
Back
Top Bottom