Globalisation imefanya dunia kuwa kama kijiji kimoja, uwepo wa utandawazi ni usaidizi wa kuweza kuuza na kununua mahali popote duniani,
Unapozungumzia soko loa dunia unazungumza kuuza na kunua bidhaa au huduma nchi yoyote ya nje mbali na nchini kwako kwa uwazi, Yaani mahali popote duniani.
Soko la dunia ni dhana, dhana ya kuuza au kununua katika nchi ya kigeni, kwa pesa ya kigeni na kwa wageni usiowajua.