Soko la dagaa nyasa kwa Dar

monta

JF-Expert Member
May 6, 2014
1,203
1,567
Wakuu mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita natarajia kumaliza shule mwezi ujao.Nikimaliza shule nataka nifanye biashara ya kuchukua dagaa nyasa toka kusini kuleta dar es salaam.Sasa je ni wapi nitapata soko la uhakika la hao dagaa na bei gani kwa dumla 1 nataka kuuza kwa bei ya jumla.. Natanguliza shukrani
 
Bado nipo shule bagamoyo, dar hadi tar 7..Nitapata kwa bei ya jumla?
 
Back
Top Bottom