Habari ndugu zangu'
Naomba msaada wa anayefahamu kuhusu soko la bongo movie kwa nchi za kenya na Rwanda,
nina Movie na pia na mpango wa kutengeneza nyingi sana hivyo ningependa kujua soko likoje na taratibu zake ama kwa anayeweza nisaidia connection tukasaidiana maisha sote!!
kwa mawasiliano yangu zaidi +255658644485