Soko la asali

Dec 14, 2014
5
4
Ndugu wadau mi ni Mjasiriamali ninayefuga nyuki na kusindika Asali mkoani Katavi, ninatafuta soko la Asali. Asali ninayouza ni mbichi haijachakachuliwa bali imefungashwa kwenye vifungashio vya Kilo moja, kilo saba mpaka kilo 28. Kwa bei ya rejareja, kilo 1 ni 10,000/=, kilo 7 ni 45,000/= na kilo 28 ni 180,000/= anayetaka tuwasiliane lakinini kwa yule anayenunua package kubwa kuanzia kilo 100 na kuendelea. Kama uko interested tuwasiliane.
 
Anthony. Hongera sana, nilikuona pia kwenye kipindi cha ANSAF. Ipo haha kufungua ofisi ya uwakala huku Dar
 
Back
Top Bottom