NOted Boss. Ntampa post yako aisome mwenyewe MKuu.Nakujibu kwa mara ya mwisho.
Lengo kuu la akitekcha katika Tanzania yetu ni kuchora TU, sasa jiulize mtaanai wanachora wangapi? Civil anachora, QS anachora, Env. Eng anachora, Fundi mwashi aliesoma na asie soma veta wanachora pia,
kupata project kubwa kwa hawa watalamu wetu ni mara chache sana na ukipata dili utapewa 5M hapo ndio pesaa kubwa, ila watz wengi ni residential house, huwezi amini hizo wanachora mpak 100,000
zingine zooooote zilizobaki zinaingiliana mfn estate offficer, Construction Manager, clerk of work, project Manager etc.
Civil, Qs ukimaliza shule unaweza hata kwenda kwa mkandarasi ukapoteza muda utalipwa, akitect utaenda kufanya nini??
mwambie dogo asizuzuke na picha na tambo za hao jamaa wakiwa chuo, kitaani ni balaa lingnie
kama anataka ardhi bas akasome BUILDING ECONOMICS
Usimdanganye weweMwambie asipoteze muda, aende akasome
Civil engineering
Electrical eng.
Mechanical Eng.
Usimdanganye wewe
umemaliza mkuu... kama anataka kuandaa kampuni na ndg mtampiga tafu hapoo sawaNakujibu kwa mara ya mwisho.
Lengo kuu la akitekcha katika Tanzania yetu ni kuchora TU, sasa jiulize mtaanai wanachora wangapi? Civil anachora, QS anachora, Env. Eng anachora, Fundi mwashi aliesoma na asie soma veta wanachora pia,
kupata project kubwa kwa hawa watalamu wetu ni mara chache sana na ukipata dili utapewa 5M hapo ndio pesaa kubwa, ila watz wengi ni residential house, huwezi amini hizo wanachora mpak 100,000
zingine zooooote zilizobaki zinaingiliana mfn estate offficer, Construction Manager, clerk of work, project Manager etc.
Civil, Qs ukimaliza shule unaweza hata kwenda kwa mkandarasi ukapoteza muda utalipwa, akitect utaenda kufanya nini??
mwambie dogo asizuzuke na picha na tambo za hao jamaa wakiwa chuo, kitaani ni balaa lingnie
kama anataka ardhi bas akasome BUILDING ECONOMICS
You well spoke kabisaNakujibu kwa mara ya mwisho.

Dsaah kwel mkali maana mfano halisi ni mimi mwenywe na huu uchumi wangu wakati nipo chuo nilikuws napata vimichongo vy 200k na 300k kuvitengenezea vikampuni vidogo vidogo budget plan na project plan ata izi project pediction nilikula ela sana..Ukiwa chuo ukapata project za 300k wewe staa, maliza shule uone
matokeo badoKIshamaliza SIx, ninaye mtaani
Hizo ndio Engineering Major asije akajichanganya akasoma architecture technologyMwambie asipoteze muda, aende akasome
Civil engineering
Electrical eng.
Mechanical Eng.
LMV ndo nini mkuuMwambie huyo dogo aje asome LMV hatajutia kama anataka ajira ya uhakika. Ila kama interest asonge tu Architecture.
Kwa PCM : WAP na wap3.Biomedical
Land Management and Valuation.LMV ndo nini mkuu
Kama yuko smart na anataka ARDHI akasome BE(BUILDING ECONOMICS) ana pia azingatie sana studio akiwa mwaka wa 1&2 ili ajue kudesign... Huku mtaani sasa hivi wanahitajika multpurpose people ukiwa qs na kujua kudesign ni deal sana,unajiajiri kiurahisi kabisa coz unakuwa na uwezo wa kutengeza boq na drawingsWadau Hi.
Nina dogo wangu amesoma PCM kule Tanga, ila dream yake ni kutinga pale Ardhi University ili akachukue Degree ya Architecture.
Naomba kujua/kujulishwa, je yuko kwenye njia sahii? Na soko la Degree ya Architecture likoje?
Tanks in Advance
Kama yuko smart na anataka ARDHI akasome BE(BUILDING ECONOMICS) ana pia azingatie sana studio akiwa mwaka wa 1&2 ili ajue kudesign... Huku mtaani sasa hivi wanahitajika multpurpose people ukiwa qs na kujua kudesign ni deal sana,unajiajiri kiurahisi kabisa coz unakuwa na uwezo wa kutengeza boq na drawings