Hakuna chochote,,, hii n kupambana tuuuWadau Hi.
Nina dogo wangu amesoma PCM kule Tanga, ila dream yake ni kutinga pale Ardhi University ili akachukue Degree ya Architecture.
Naomba kujua/kujulishwa, je yuko kwenye njia sahii? Na soko la Degree ya Architecture likoje?
Tanks in Advance
Wadau Hi.
Nina dogo wangu amesoma PCM kule Tanga, ila dream yake ni kutinga pale Ardhi University ili akachukue Degree ya Architecture.
Naomba kujua/kujulishwa, je yuko kwenye njia sahii? Na soko la Degree ya Architecture likoje?
Tanks in Advance
Nasikia ina soko wengi huanza kuona Matunda wakiwa mwaka wa 3 tu wanaanza kushika deal ukiwa smart.
Hahah kumbe maana kuna dogo Yupo mwaka wa 5 anakamata deal na anasukuma BM sasa sio gari tehUkiwa chuo ukapata project za 300k wewe staa, maliza shule uone
Kuna dogo mmoja alisomaga architecture diploma,baada ya kumaliza akafanya kazi kama miaka miwili na hapo alienda south africa kufanya kazi,baaa ya miaka miwili kurudi akajiongeza kwenda kusoma degree ya fani iyo iyo architecture nilimshauri abadilishe kozi lakini aligoma na akasema hii fani ina lipa sanaTHanks Mkuu. Ila naona kuna mixed views. some wanasema, soko gumu na wengine wanasema soko lipo. Unaonaje hapo?
Inawezekana Mkuu, ila you have to competent enough. Studio iwe ni sehemu ya maisha yako. I believe inawezekana. Thanks for your timeKuna dogo mmoja alisomaga architecture diploma,baada ya kumaliza akafanya kazi kama miaka miwili na hapo alienda south africa kufanya kazi,baaa ya miaka miwili kurudi akajiongeza kwenda kusoma degree ya fani iyo iyo architecture nilimshauri abadilishe kozi lakini aligoma na akasema hii fani ina lipa sana
kwa nn asipoteze muda Boss, hailipi au?
kwenye level ipi, Diploma, degree au Mstrs
sio kukomaa pcm husomi architecture, sema ana interest nayo tu. usimforce muache kwanza amalize mitihani na apate matokeo mazuriNilimshauri achukue Civil Engineering, kasema haina mvuto kwake. Inaonekanaanataka kukomaa na Architecture studies.