Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
Waliruhusu wakati wa kampeni, sasa hivi wana hasira baada ya kushindwa, wanataka G.Lema aje awatoe.Baada ya shughuli za uchaguzi mkuu kwisha, inaonekana wafanyabiashara maeneo ya soko kuu Arusha wameamua kufanyia biashara zao katikati ya barabara kiasi kwamba inakuwa vigumu kupita na gari kwenye barabara zilizo pembezoni mwa soko hilo.
Sina hakika kama Mkurugenzi wa jiji ameamua kufumba macho, au kuna mkono wa siasa ndani yake, lakini kwa kweli ni karaha kupita maeneo hayo hasa ukiwa na gari.
watu ndio watakuwa wamekojoa ..au unandani hilo kojo lililetwa ? poleni lakinikwa kweli inatia kero...halafu leo nimegundua kitu kingine, mchana kwenye mida ya saa nane mvua ilinyesha kidogo ilivyokatika na maji kukauka ilibaki harufu ya mikojo barabara nzima huu upande wa jubilee tyres, na maeneo hayo wamama ndio hutandaza bidhaa zao chini...hivi tutapona kweli kwa mtindo huu...na huyo anayekojoa huko barabarani ni nani?
watu ndio watakuwa wamekojoa ..au unandani hilo kojo lililetwa ? poleni lakini
asante...ama kweli watu ni zaidi ya tuwajuavyo.....lakini kwa nini waende wakakojoe barabara za sokoni?
si vyoo vya umma havipo..ok kama vipo havifanyiwi usafi.. yote hayo ni mambo ya uongozi..halmashauri sijui nini huko wanapewa fungu au wanakata kodi ili washughulikie mambo yote haya ..hope unanainyaka sister...ninavyopapenda Arusha ..we acha tu nikisikia hivi roho inaniuma
Ivuga endelea kupapenda tu lkn hali ya usafi huku ni tete achilia mbali mpangilio mzima wa jiji.
inabidi basi tuwapigie makelele ili wabadilike wasilale na kula kodi zetu tu
watu ndio watakuwa wamekojoa ..au unandani hilo kojo lililetwa ? poleni lakini