SOKA LA BONGO SIASA TUPU WAMBURA MAHAKAMANI

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Hakika Soka la Bongo ni Siasa tupu ni kama Chadema vs Ccm.Ukipigania haki yako ndani ya TFF utashtakiwa FIFA na ikishindikana utajikuta uko PCCB na hatimae Mahakama za Kisutu hiyo ndio TFF yetu , Makamu Rais wa TFF Mr.Richard Wambura yamemkuta.Badala ya Viongozi wa TFF kutumia muda mwingi kutafuta Wadhamini wa Ligi zetu wao wanatumia kufanya Siasa leo Timu zetu zimeanza kupanga matokeo kwa Vilabu visivyo na fedha kuuza Mechi.Tusitarajie Soka letu kukua kwa TFF hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja, TFF ya sasa in Bomu haijapata kutokea toka Uhuru. Na kwa mtindo huu soka letu halitoboi ngoo.
 
Back
Top Bottom