Soka la bongo na mihadarati

Soka la bongo na mihadarati

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,360
Reaction score
5,846
Mpira wetu unadidimia kila kukicha bila ya kujua tatizo liko wapi.Ila kwa utafiti mdogo nilioufanya nikagundua wachezaji wetu wengi wameathirika na mihadarati.Sasa nini cha kufanya?Tunatakiwa tuintroduce
Pre-competition doping test haraka inavyowezekana.Mh malinzi fanyia kazi immediately .na wadau wote wa soka tulifanyie mkazo ,inshallah tutafika mbali kisoka.
 
Timu nzima anaweza kubaki daktari na kocha tu mkianza hivyo vipimo
 
Vijana wetu wanaweza kucheza hata Ulaya..tatizo maadili mabovu toka awali
 
Sisi tupo duniani ku-survive sio kuishi
 
Back
Top Bottom