Na baya zaidi Tanzania hufikiria Gay ni Yule anayefanyiwa ndomana wengi hupenda kutumia mtoto rizki, wote hata mnayemuona Basha naye ni Gay haijalishi anamfanya mwenzake wa jinsia moja bila yeye kufanywa, uchafu umetawala wapige vita wote hao sio upande mmoja tu na Kama ushahidi hakuna msikurupuke waandishi wetu wengi habari zao wanaandika kishabiki waziwazi bila kujuwa kazi zao au wanapenda umaharufu tu.Kama ushahidi upo kwanini usiwekwe hadharani, hii tabia ya kujidai ninao ushahidi ila siwezi weka ni danganya toto. Mfano Walcot na Ashley Cole walihusishwa na kashfa ya ushoga na vyombo vyao vya habari viliripoti, sasa kama bongo watu kama hao wapo kwanini wasiwekwe hadharani?
Asilimia kubwa humu tunatumia feki id so nini hofu? Come direct and say someone is a gay ili kufunga mjadala.