Vatican: Papa Francis asema hali ya Papa Benedict XVI ni mbaya, aomba watu wamwombee

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,323
7,963
pope.jpg

Katika taarifa yake, Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki ameomba watu kumkumbuka katika Sala Maalumu ya kumtakia afya njema #PapaEmeritusBenedict ambaye alijuzulu Februari 2013.

Benedict ambaye jina lake halisi ni Joseph Ratzinger alitangaza kuwa hali yake kiafya imetetereka na kuamua kuachia Uongozi na kuwa Papa wa kwanza kujiuzulu Ukuu wa Kanisa Katoliki duniani tangu mwaka 1415.

Baada ya kifo cha #PapaJohnPaulII, Benedict alichukua nafasi yake Aprili 2005 akiwa na miaka 78. Septemba 2010 alikuwa Papa wa kwanza kuomba radhi kwa kashfa za Ulawiti wa Watoto zilizoibuliwa dhidi ya Mapadri wa Kiroma duniani kote.

=================

Pope Francis has said that his predecessor Pope Benedict, the 95-year-old former pontiff who resigned from the post nine years ago, is “very sick” after a deterioration in his health on Wednesday.

“I want to ask you all for a special prayer for Pope Emeritus Benedict who sustains the Church in his silence. He is very sick,” Francis said during his general audience at the Vatican on Wednesday.

“We ask the Lord to console and sustain him in this witness of love for the Church to the very end.”

A Vatican spokesman later confirmed that “in the last few hours there has been a deterioration due to the advancement of (Benedict’s) age.”

“The situation at the moment remains under control and continually monitored by his doctors,” the spokesman, Matteo Bruni, said, adding that Francis visited his predecessor at the Mater Ecclesiae monastery in Vatican City after his general audience.

In 2013, Pope Benedict XVI shocked the world by making the almost unprecedented decision to resign from his position, citing “advanced age.”

Benedict’s announcement marked the first time a pope had stepped down in nearly 600 years. The last pope to resign before his death was Gregory XII, who in 1415 quit to end a civil war within the Catholic Church in which more than one man claimed to be pope.

In 2020, the Vatican said Benedict had suffered from a “painful but not serious condition,” following reports in German media that he was ill.

Two years earlier, in a rare public letter published in the Italian newspaper Corriere della Sera, Benedict wrote that “in the slow waning of my physical forces, inwardly I am on a pilgrimage toward Home.”

Benedict’s legacy has been clouded by recent scrutiny of his time as Archbishop of Munich and Freising, between 1977 and 1982, after a Church-commissioned report into abuse by Catholic clergy there was published in January.

The report found that he had been informed of four cases of sexual abuse involving minors – including two during his time in Munich – but failed to act, and that he had attended a meeting about an abusive priest.

Benedict later pushed back against those allegations, admitting he had attended the meeting but denying he intentionally concealed his presence.

CNN
 
Kweli dini tumeletewa Yani katolics wanakubali hao huko Ulaya wapeane tu upapa et wa dunia nzima 😁 embu anzisheni watu weusi kuwa Kuna Papa jike anatoka Africa wa dunia nzima Kama watakubali au semeni huyo wa mwsho tunataka wajao watokw africa
Papa wa sasa ni Muargentina.
 
Kweli dini tumeletewa Yani katolics wanakubali hao huko Ulaya wapeane tu upapa et wa dunia nzima 😁 embu anzisheni watu weusi kuwa Kuna Papa jike anatoka Africa wa dunia nzima Kama watakubali au semeni huyo wa mwsho tunataka wajao watokw africa
Hata kama, lakini huku futuhi njaa sana,
Unashangaa Papa naye anasema "mama anaupiga mwingi"
 
Huyu si alikuwa mwakilishi wa Mungu Duniani? Nadhani safari ya kurudi kwa muumba wake inapaswa kuwa sherehe.....au mimi nakosea?
Ajuza yoyote anapokufa huwa ni sherehe, nisijue kwenu huko.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom