Softwares za Programming

Softwares za Programming

niester

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
254
Reaction score
111
Habari wana Jf. Kwa mtu yeyote au mwanafunzi wa computer science anayetaka kujifunza programming kwa kutumia C++ or Python. I will be glad to hear from you ili niwapatie hizo software pamoja na links. Dunia tuyakwenda everything is going to be coded. Jifunze ku-create codes wewe mwenyewe. Atakayependa nimtumie samples of codes lemme know.
 
Yes ndugu Mi napenda kujua vizuri programming kwa kutumia C++ ....ntashukuru sana ukinipa msaada kwako zaidi....number 0657035695 or whatsapp 0756763448
 
Asante kaka ,what's App mie situmii kwa sasa na kama unataka software ya C++ naomba email yako ntakutumia link. December ntakuja Tanzania ntakutafuta.
 
Katika hiyo link mtapata aina zote za vitu vinavyohusu programming na windows
Utapata vitu kama hizi kwenye attachments
 
Attachments

  • 1443158263281.jpg
    1443158263281.jpg
    26.2 KB · Views: 388
  • 1443158284898.jpg
    1443158284898.jpg
    32.5 KB · Views: 359
Send to me mkuu
termitegenius@gmail. com
 
Habari wana Jf. Kwa mtu yeyote au mwanafunzi wa computer science anayetaka kujifunza programming kwa kutumia C++ or Python. I will be glad to hear from you ili niwapatie hizo software pamoja na links. Dunia tuyakwenda everything is going to be coded. Jifunze ku-create codes wewe mwenyewe. Atakayependa nimtumie samples of codes lemme know.

Naomba nami: bernardupina@gmail.com
 
Ni kweli dunia ya sasa vitu vingi vinahitaji codes. Utakuwa umesaidia kusambaza uelewa na ufahamu kwa wengi..
 
Yeah, that's true, but some people wananitumia fake emails na wanafanya mzaa kbs kwenye Elimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom