softwares/pragrams muhimu katika PC

josby

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
85
Reaction score
1
Salaam wanandugu! Ni swali tu ili kuhakikisha na mimi laptop yangu ipo sawa na inaenda na wakati,unadhani ni programs gani muhimu kuwa nazo kwenye laptop!?
 
Salaam wanandugu! Ni swali tu ili kuhakikisha na mimi laptop yangu ipo sawa na inaenda na wakati,unadhani ni programs gani muhimu kuwa nazo kwenye laptop!?
  • Usalama kwanza: Pata Ant_Malware program moja na Antivirus
  • Kwa Anti_Malware napendekeza Malwarebytes Anti-Malware 1.75 na Antivirus weka Microsoft security essential - Programs hizi zote ni bure.
Download hapa: Malwarebytes Anti-Malware 1.75 Download for Windows / FileHorse.com

Download toka hapa:Security Essentials Download for Windows / FileHorse.com

Karibu.
 
tofauti na antivirus, softwares nyingine inategemea matumizi yako, kuna rafiki yangu haweki office kabisa hata hajui zinafananaje?
 
duniani hapa kuna mamilioni ya software sasa hizi zote zinategemea matumizi yako kama alivyosema elmagnifico
ili kukusaidia labda ungesema shughuli yako afu utashauriwa software za muhimu za kuwa nazo...
 
Last edited by a moderator:
Haha,asante kwa msaada! Matumizi ya kawaida tu kama kijana,kusoma,movies,music,game,internet!
 
Weka microsoft office 2007 na kuendelea juu, weka adobe reader, weka vlc player, weka mozilla au google chrome, install Macromedia flash player, games mbona zipo kibao inategemea na capacity ya mashine yako

Haha,asante kwa msaada! Matumizi ya kawaida tu kama kijana,kusoma,movies,music,game,internet!
 
Tembelea link hii chini wadau walimwaga maujanja kibao
www.jamiiforums.com/tech-gadgets-an...are-muhimu-kuwa-nazo-ktk-pc-yako-windows.html
 
Sasa siinategemea unafanyia nini laptop ila zile basic,Window OS,Microsoft office,antivirus baadae ndo unaweka program kulingana na matumizi yako kama ni engineer utaweka zinazo husika na mswala ya uinjinia
 
Na mm naona wengi wanagonga nje kuna vitu ni basic ktk computter ndo alivyo vitaka

Nenda FileHorse.com / Free Software Download for Windows juu kulia search WINRAR Hii itakusaidia ku-unzip compresed files
Maana nimeona watu si chini ya mia hawajui hata ku-unzip ni nn?, nawapa file PD Proxy wanasema haliko compatible na OS zao...je ku-extract unajua? oooh!Hiyo term ndo kabisa kwanza naisikia..
Natawamani niwambie surender your machines so that we smart guys we may use them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…