Nyasiro huyu jamaa nimeshauri asome kitabu cha beginners kitakachomfunza programming kwanza, hawezi kudevelop software yake bila kujua kuandika basic prgm codes, right? so ataandika codes zake say kwenye notepad,then a download compiler ms visual c++ kutest hizo codes into an .exe program, nilimaannisha compiler na sio P Language na labda ni rahisi kufuata mifano kwenye kitabu kwani ndo anaanza na kitabu kinampa maelekezo. ALternatively, anaweza kudownload any programming language anayotaka na compiler ambayo ni compatible bila kutumia kitabu.