Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,264 May 1, 2012 #1 Katika hii picha inaonekana jinsi ilivyotuna kidogo hapo kati. Nahitaji kitu kama hiyo kwa ajili ya kutengeneza kitu katika muundo kama huo
Katika hii picha inaonekana jinsi ilivyotuna kidogo hapo kati. Nahitaji kitu kama hiyo kwa ajili ya kutengeneza kitu katika muundo kama huo
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 May 2, 2012 #2 kama unatumia adobe photoshop ni rahisi sana kufanya ivo
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,907 Reaction score 1,082 May 2, 2012 #3 Adobe Photoshop ndio mwisho wa yote ila mpaka ujifunze jinsi ya kuiitumia la sivyo utazinguka.
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,264 May 2, 2012 Thread starter #4 Adobe sawa, lakini waweza download au hadi mtu anunue? Hiyo ndio shida yangu kuu-namna ya kuipata
M MASEBUNA JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 243 Reaction score 55 May 4, 2012 #5 Mkuu zinauzwa kwa bei sana ila sisi tuzipata kwa magumashi kama upo dar nitafute nikupe 0716099463