Software ya risiva mpeg4 4669XII STRONG

Software ya risiva mpeg4 4669XII STRONG

Robert mp

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
200
Reaction score
21
Jamani naomba msaada wa software ya risiva yangu strong mpeg4 4669xii kwani ilikuwa mpeg4 na sasa imekuwa mpeg2. Tena imekuwa haipachi bss key wala haisapoti dongle. Msaada tafadhali wanajf
 
Jamani naomba msaada wa software ya risiva yangu strong mpeg4 4669xii kwani ilikuwa mpeg4 na sasa imekuwa mpeg2.tena imekuwa haipachi bss key wala haisapoti dongle.msaada tafadhari wanajf

Pole sana.... Siku mbili tatu hizi jamaa wa strong wamekuwa wakifanya updrading through OTA na nia yao ni kuzuia fake strong receiver na kuminya kaupenyo kakuchakachua my TV Africa... Wakati unasubiri software jaribu kuzuia isiendelee kuji upgrade yenyewe..
 
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri wako.ila bado nasubiri wataalamu watokee.
 
Kaka nimejaribu nikapata software ya str 4669xii my tv nimeistall lakini tatizo limebaki pale pale.ila nashukuru kwa mawazo yako,na kama unaushauri mwingine nakusubiri.tatizo haipatch biss key wala haisapot dongle pia imekuwa mpeg2, badala ya mpeg4
 
Kaka nimejaribu nikapata software ya str 4669xii my tv nimeistall lakini tatizo limebaki pale pale.ila nashukuru kwa mawazo yako,na kama unaushauri mwingine nakusubiri.tatizo haipatch biss key wala haisapot dongle pia imekuwa mpeg2,badala ya mpeg4
Vipi umefanikiwa kupata SW ya str 4669 xii?
 
Kama imekataa basi hiyo ni. Strong ambayo haina ubia na My tv,acha nitafiti njia m'badala takucheck basi tena.

Mr Arsenal
 
Nipe sn na cn. Kupata cn bonyeza menu>system setting>security setting>pin>0000. Sana ipo kwenye stika. Nataka kujua kama ni fake au lah.
 
nipe sn na cn. Kupata cn bonyeza menu>system setting>security setting>pin>0000. Sn ipo kwenye stika.nataka kujua kama ni fake au lah.

Natumia mpeg4 HD,RECEIVER str 4930 with Lan, NATAKA KUfaham je naweza kutumia smart card yoyote?
 
Mr arselona nashukuru kwa moyo wako wa kutaka kunisaidia.ASANTE SANA.na kuhusu kuipata software bado sijapata mkuu wangu.na hiyo CN(code number)ni hizi 0987386489.na SN(serial number) ni hizi XII4669-1101-723994.ni hivyo wakuu zangu.nasubiri msaada wenu na pia naheshimu jitahada zenu juu yangu.mungu awabariki
 
Mr arselona nashukuru kwa moyo wako wa kutaka kunisaidia.ASANTE SANA.na kuhusu kuipata software bado sijapata mkuu wangu.na hiyo CN(code number)ni hizi 0987386489.na SN(serial number) ni hizi XII4669-1101-723994.ni hivyo wakuu zangu.nasubiri msaada wenu na pia naheshimu jitahada zenu juu yangu.mungu awabariki

Kaka hongera sana decoder yako siyo fake. Ila ntakutafutia latest software.
 
Nitashukuru sana mkubwa wangu mr arselona.bado nakuombea ufanikiwe juu ya mambo yako yote ikiwemo na hili la risiva yangu.mungu pamoja nawe.
 
Nitashukuru sana mkubwa wangu mr arselona.bado nakuombea ufanikiwe juu ya mambo yako yote ikiwemo na hili la risiva yangu.mungu pamoja nawe.

Kaka visit hapa: crosat.us>strong receivers>strong wizkid> strong 4 africa>download file la srt 4669xii la tarehe 26.12.2012. Yote mema kaka.
 
Ngoja níifanyie kazi mkuu wangu,baada yahapo nitakuja na majibu mtaalamu wangu.pia nashukuru kwa ushirikiano wako.
 
Mkuu wangu nimejaribu imegoma kwani haya mafile mwishoni yana neno zap.na yenyewe inakubali kuingiza sw yenye neno STB mwishoni.ila mtaalamu wangu mwanzo ilikuwa na software kama hivi...s/w version:1.02(jul 20 2009)hardware version:1.00 na boot version:1.20.Hivyo ndivyo nilivyoinunua.na sasa ipo sw version:1.16(nov 18 2011)hw version:1.00 na boot version:5.10 nakuomba unisaidie mtaalamu wangu ARSELONA
 
Bila shaka yana neno zipi mwishoni. Sasa li unzip fail kabla hujaliinstall. Kwa ss niko mbali na pc ningedownload,unzip na kuliweka humu ndani.
 
Kaka ngoja nisubiri tu urudi halafu iniwekee hilo file au link yake.kwani mkuu wangu mie siwezi kulifanya liwe unzip.kazi njema mkuu wangu
 
Nahitaji msaada wako sana mr ARSELONA kuhusu hili tatizo langu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom