wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,290
- 3,946
Wadau ofisin kwang wireless network ina speed ndogo sana,nmeongea na IT technician mmoja ananiambia kuwa inawezekana compyuta ni nyng kuliko uwezo wa router!....ningependa kujua kama kuna software inayospeed up wireless connection.