kama utahitaji tu , au unatakakutengeneza cd chache, maana nilikuwa natumia nimeiweka mahali tuuniuzie tena?
Mkuu nisaidie tu, nina shida. Majuzi tu ndo nimeanza kazi ya editing na kuna kijana mmoja anataka kurekodi wimbo wake. Kwa pamoja hatutaki kuacha dvd wazi. Ntapataje hii kitu?kama utahitaji tu , au unatakakutengeneza cd chache, maana nilikuwa natumia nimeiweka mahali tu
Poa kama ni video nitafute ukimalizaMkuu nisaidie tu, nina shida. Majuzi tu ndo nimeanza kazi ya editing na kuna kijana mmoja anataka kurekodi wimbo wake. Kwa pamoja hatutaki kuacha dvd wazi. Ntapataje hii kitu?
Mkuu kumbuka aliyetengeneza virus ndiyo huyohuyo alitengeneza antvirusNaomba kujua hiyo software