google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,877
wakuu za usiku, jaman naomben mwenye ujuzi na utaalam pamoja na software nzur ya kuconnect kinanda pamoja na computer ..msaada jaman
kinanda kwenye computer huwa kinatumika km midi instrument...vinanda huwa vinatofautiana ktk uwezo.mfano midi keyboards huwa inahitaj usb ili uiconnect na pc vilevle chenyewe km chenyewe hakiwez kutoa saut yoyote kwasababu hakina sound bank ndan yake so inahitaj external plugin ambazo zina sound tofaut ili kutumika
Na kuhusu software ni kwamba mara nying kinanda kinatumika kwenye beat making softwares au DAW km FL,cubase,logic pro,reason nk.ambapo unaweza kuunganisha kinanda chako na ukakitumia bila tatizo lolote..
Natumaini nimejb swali lako km kuna tatizo au swali lolote usisite kuuliza
Kawaida kaka...mimi nipo dsm