YapQuality yake inakuwa ya juu km kabla ya kuchoma?
unaweza ukaburn kama data zikaingia hata movie 6 za hd humo lakini hutaplay kwenye dvd player za kawaida, utaplay tu kwenye pc na vifaa vingine vinavyosoma hizo dataAsante Chief Mkwawa kwa maelezo. Me nachoma dvd ya Gb 4.7 kwa hd video,kumbe huwa nabugi
muone huyu jamaa hapa za 8gb zinaweza burn HDVp hizo hd dvd,zinapatikana hapa bongo?
Asante Mkuumuone huyu jamaa hapa za 8gb zinaweza burn HD
Dvd za blu ray zinapatikana wapi?