Software engineering vs Electrical engineering

Software engineering vs Electrical engineering

thomaskitomari

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
472
Reaction score
204
Habari wakuu
Naomba kufahamishwa kuhusu hii fani ya software eng kwa anaye ijua vizuri hususan kwenye kaz zake niliomba electrical dit na software udom sasa dit sjachaguliwa hvo nasubiri second batch ya udom ingawa kiukweli moyoni naikubal electrical ila sina namna msaada wakuu
 
Nenda electrical... tanzania utamtengenezea nani software?
 
Ulipata division ngapi ya point ngapi? Sikushauri kusoma iyo kozi, bora uahirishe hata mwaka uombe tena mwakani
 
Soma electrical engineering ndio nzuri na ukaajiwa viwandani, kwenye taasisi au kwa ma- civil engineer wanaojenga majengo makubwa na madogo na pia unaweza kujiajiri.
 
Nchi ya viwanda hii soma umeme
 
Back
Top Bottom