Mkuu hata mzee majuto alenena kizuri hakikosi doa inamaana sisi waswahili kila kitu kinacho fanywa na waarabu au wahindi na wadugu huwa vibovu lakini vya kwetu hujisifia kama vibatari na kusukuma mikokoteni na watoto vidogo na vijana wa kazi nao kuwokota vichupa uhai na karanga mbichi ili tuwe na maji ya uzazi hayo ndio maendeleo yetu