Software engineer anatafutwa

sawa mdau, lakini heading ni software engineer anahitajika. Sidhani kama Tz wanapatikana labda waliosoma nje ya nchi na UDOM ndio wanatoa hii course na sidhani kama wamegraduate..

Course au programme??
 
Kuna kampuni ya wachina ilikuwa na software yao sasa ilikuwa iko kwa kichina sasa wanataka kubadilisha iwe kwa english

Sasa Anaefanya Kichina Kwenda Kingereza Ni Translator Au Engineer...???

Asee Wenye Fani Zao Njooni Huku Huyu Jamaa Katudhalilishia Title Yetu
 
lakini mdau mbona unaligi kali, bado wewe sio software engineer ni information technician. Kibongo bongo kila kitu ni mazoea
Uko sahihi kwa mimi ni nani, but for what am doing is what mdau anayemtafuta, hata pia yaweza kuwa anatafuta mtu ambaye anajua kidogo tu about programing
 
Uko sahihi kwa mimi ni nani, but for what am doing is what mdau anayemtafuta, hata pia yaweza kuwa anatafuta mtu ambaye anajua kidogo tu about programing
Wewe bado ni Software Engineer usiwe na wasiwasi! Software Engineering Tanzania sio certified profession kama Civil Engineering kwa hiyo unaweza kujiita hivyo bila tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…