Kuna kampuni ya wachina ilikuwa na software yao sasa ilikuwa iko kwa kichina sasa wanataka kubadilisha iwe kwa english
nenda UDOM pale kuna undergraduates wanaweza fanya hiyo kitu. Tofauti na hapo hakuna software engineering students Tanzania nzima.
Graduate wa kwanza UDOM-BSc.Software Engineering ni 2013 na walikuwa 23. Mimi Chief Lugina nikiwa mmoja wao.sawa mdau, lakini heading ni software engineer anahitajika. Sidhani kama Tz wanapatikana labda waliosoma nje ya nchi na UDOM ndio wanatoa hii course na sidhani kama wamegraduate..
Tangazo nimeliona even though lipo local sana, anyways ninakazi za watu ambazo inawezakuwa ngumu kuattend hiyo kazi. Pia nadhani interest siyo Software Engineer(Mwenye BSc.SE) lakini mwenye uwezo wa kufanya hiyo kazi. Mimi nina encourage mtu yeyote anaeweza kufanaya hiyo kazi awatafute hao majamaa afanye hiyo kazi.hii ni nzuri, tender hiyo sasa jaribu kumcheck huyo mdau
hii ni nzuri, tender hiyo sasa jaribu kumcheck huyo mdau
hapana mdau, mimi nilipiga old moshi..
vipi mdau wewe ni product ya ndanda nini, maana nilikuwa nawakubali sana hawa boys
inawezekana sababu tuko wengi tunaotumia haya majina..
Software engineering anatafutwa kuna company inatafuta mtu huyo hapo kwa maelezo zaidi nicheki 0717 022737
Software engineering anatafutwa kuna company inatafuta mtu huyo hapo kwa maelezo zaidi nicheki 0717 022737
sawa mdau, lakini heading ni software engineer anahitajika. Sidhani kama Tz wanapatikana labda waliosoma nje ya nchi na UDOM ndio wanatoa hii course na sidhani kama wamegraduate..
huyu jamaa ni dalalibila shaka ulimaanisha software engineer. Weka mambo hadharani acha kutaka kutafutwa kwa simu.
laaaahacha kukariri, binafsi nmesoma normal it, na sasa nafanya software engineering
Kuna kampuni ya wachina ilikuwa na software yao sasa ilikuwa iko kwa kichina sasa wanataka kubadilisha iwe kwa english