Mitch McDeere JF-Expert Member Joined Feb 24, 2017 Posts 354 Reaction score 722 Apr 16, 2019 #21 Karibu hapa mkuu. Post #68: 13 books of Robert Kiyosaki Hapo kuna vitabu 13, ila Robert Kiyosaki ameandika zaidi ya idadi hiyo.
Karibu hapa mkuu. Post #68: 13 books of Robert Kiyosaki Hapo kuna vitabu 13, ila Robert Kiyosaki ameandika zaidi ya idadi hiyo.
October man JF-Expert Member Joined Nov 23, 2017 Posts 3,631 Reaction score 5,023 Apr 18, 2019 #22 bukoba boy said: Sijui ni ushamba au nn,mimi kisoma kitabu mpaka nikishike ndo nasikia raha yani kama hivi; Click to expand... Hakuna asiyependa kuwa na kitabu physical ila pesa sasa mtu anahitaji soma vitabu kadhaa vyote ataweza kuvi-afford ni ghalama kubwa. Mkuu tubadilishane hiko kitabu na change cha “Guide to invest”
bukoba boy said: Sijui ni ushamba au nn,mimi kisoma kitabu mpaka nikishike ndo nasikia raha yani kama hivi; Click to expand... Hakuna asiyependa kuwa na kitabu physical ila pesa sasa mtu anahitaji soma vitabu kadhaa vyote ataweza kuvi-afford ni ghalama kubwa. Mkuu tubadilishane hiko kitabu na change cha “Guide to invest”