Softcopy za vitabu vya Robert Kiyosaki

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,722
Reaction score
21,959
Jamani kama kuna mtu anaweza kunisaida jinsi ya kupata vitabu tajwa hapo juu kwa njia yoyote ile ikiwa ni link au wewe mwenyewe kama unavyo naomba msaada wako.
Wenu katika ujenzi wa taifa letu ili changa.

Mkuu anza na hicho kuna vingine kama viwili hiv ntakutumia badae kidogo
 
jamani kama kuna mtu anaweza kunisaida jinsi ya kupata vitabu tajwa hapo juu kwa njia yoyote ile ikiwa ni link au wewe mwenyewe kama unavyo naomba msaada wako.
Wenu katika ujenzi wa taifa letu ili changa.
Msaga sumu
ingine hivyo mkuu
 
Attachments

nashukuru sana mkuu,tena sana engineer
 
Mkuu niki-download kitabu mbona sikioni kwenye files zangu? halafu ni app gani nzuri kwa kufungulia PDF?
Check kwenye file la downloads mkuu, Search playstore utakuta adobe reader ila check kwanza kama simu yako ina uwezo wa kufungua PDF maana kuna zingine zinakua na apps zake.
 
Check kwenye file la downloads mkuu, Search playstore utakuta adobe reader ila check kwanza kama simu yako ina uwezo wa kufungua PDF maana kuna zingine zinakua na apps zake.

Mkuu tayari asante sana! naweza kupatw vitabu vya hadithi za kiswahili?
 
Haina noma mkuu
Ni changamoto japo vinaweza kupatikana....nitajaribu ila sijui unapenda vya aina gani/ vinavyohusu nini?

Mkuu samahani kwa kuchelewa kukujibu, ni vitabu kama abunuwasi,.
Kuna kitabu kingine kinaitwa THE IMPRISONMENT OF OBATARA mtunzi Gibson,Harry hiki ni cha kiingereza.
 
Sijui ni ushamba au nn,mimi kisoma kitabu mpaka nikishike ndo nasikia raha yani kama hivi;
 
Attachments

  • 1435235591629.jpg
    67.3 KB · Views: 335
Mkuu samahani kwa kuchelewa kukujibu, ni vitabu kama abunuwasi,.
Kuna kitabu kingine kinaitwa THE IMPRISONMENT OF OBATARA mtunzi Gibson,Harry hiki ni cha kiingereza.

mkuu hicho cha abunuwasi nakipataje nitupie link ikiwezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…