Hard drinks ni pombe zote zilizopitia distillation process katika utengenezwaji wake. (Kukusanya matone ya mvuke) Mfano all kind of whiskies, Gin, Vodka, Rum, Tequila gongo nk.
Beers haiwezi kuwa hard drink maana imetengenezwa kwa nafaka kupitia mfumo wa brewing, fermentation, adding o sugar and yeast kuwa kilevi, boiling, kuongeza ladha (hops ingredients) filtration nk.
Savanna ni kundi la apple cider.
Tofauti yake na beer ni
Beer inatengenezwa kwa nafaka,
Savanna inatengenezwa na apple juice,
Beer inatengenezwa kwa brewing na ku ferment nafaka na kuongezewa ladha ya uchachu kwa kuchanganywa hops.
Cider (Savanna) inatengenezwa Kwa ku ferment apple juice tu.
Finally, DRINK BEERS AND SAVE WATER.
Sent using
Jamii Forums mobile app