Hii ni baada ya siku chache pale nchini Qatar katika mechi ya mtoano hatua ya 16 Bora morroco walipo fanikiwa kuwaondoa spain.
Sofiane Alisema ushindi huu ni kwa waaarabu wote na morroco.
Ofcoz hao , Algeria,misri,Tunisia,Libya sio waafrika ni waraabu waliokwenye bars la Africa na ureno natamani hawaloweshe mvua nyingi za magoli.....ILO jamaa limejishtukia tu
Ofcoz hao , Algeria,misri,Tunisia,Libya sio waafrika ni waraabu waliokwenye bars la Africa na ureno natamani hawaloweshe mvua nyingi za magoli.....ILO jamaa limejishtukia tu
Kwa kuwa ameomba msamaha mimi mbigirikavu naupokea kwa moyo mmoja.
Neno samahani ni neno kubwa sana. Sio kila mtu anaweza kutamka.
Uhakika wote tuliopitiwa na mipaka ndani ya bara la Afrika ni waafrika.
Rangi ni mapambo tu ya dunia. Wasingekubali kucheza na waafrika kama wao ni waarabu.
Waafrika tungejivunia timu ya ufaransa kwa kuwa ni weusi kama waafrika. Lakini hawatuhusu kama wanavyotuhusu wamorocco.
Wafaransa sio waafrika.
Kwa hiyo rangi is nothing.
Ndiyo ni waarabu lakini sio waasia. Ni waafrika.