Habari member wa JF, Nauliza hizi sofa za chuma zinatengenezwa wapi kwa hapa DSM, naona kama ni ngumu zaidi kudumu kulinganisha na zile za mbao, Msaada please. Nimeweka na picha ya mfano

Reply yako haijamsaidia mleta mada. Yeye kauliza eneo zinapotengenezwa na si ubora wake.
Ni bora ungemuelekeza kwanza, halafu ushauri baadae.
Ndiyo nyie wavurugaji hata linapokuja suala la mahusiano.
Mtu anaweza kuwa na nia ya kubeba mazima sehemu, ukiulizwa sifa ya mhusika, ndiyo utasilibaje? Ilimradi kumvurugia malengo yake mtu.