Zikipata kutu hatari bola mbao tuHabari member wa JF, Nauliza hizi sofa za chuma zinatengenezwa wapi kwa hapa DSM, naona kama ni ngumu zaidi kudumu kulinganisha na zile za mbao, Msaada please. Nimeweka na picha ya mfano![]()
Reply yako haijamsaidia mleta mada. Yeye kauliza eneo zinapotengenezwa na si ubora wake.Zikipata kutu hatari bola mbao tu
Jieleze vema ,ungeweka at a picha za kazi zenu Kwa faida ya wengineKaribu mkuu kwa procuct yoyote inayotokana na chuma. Tunaweza tengeneza design nzuri zaidi ya hiyo. Best quality kwa bei nafuu.
Zinapakwa red oxide/primer hazitashika kutuZikipata kutu hatari bola mbao tu
inategemeana na finishing mkuu basi hata vitanda tusilalie vya chuma we endelea kufuga panya kwenye hiyo mimbaoAchana Nazo mkuu ni hatari kwa afya yako hili chuma likishika kitu unaweza jikwaruza au mtoto basi kila Mara kwenda kuchoma sindano ya tetenasi
Mkuu achana nazo hizo zitakutoboa upate tetenasi bure.Habari member wa JF, Nauliza hizi sofa za chuma zinatengenezwa wapi kwa hapa DSM, naona kama ni ngumu zaidi kudumu kulinganisha na zile za mbao, Msaada please. Nimeweka na picha ya mfano![]()