Kwetusongea
Senior Member
- Nov 30, 2014
- 117
- 45
Sofa 235,000
Kabati cha vyombo 100,000
Kabati la tv 135,000
Kabati cha vyombo 100,000
Kabati la tv 135,000
Mzee baba uwe unavuta pumzi kwanza.mmmh huyu tuangalie umri wake hawez wa miaka hii maana wahenga ndio wanapigo za namna hii
Mi juzi alikuwa anahama jamaa hom Alikuwa na TV la chogo nchi 24 akasema anataka kuniachia nilikataa nikamshauri akalipasue tu au auze hata buku tano akanywee maji safarin wew leo unaleta humu kuuza?
Picha ya kabati la vyombo nikizoom naona ulivyoikosa kosa rangi ya mtumeCall 0784096900
Cuzi Tv nauza kabati soma tangazo vzurmmmh huyu tuangalie umri wake hawez wa miaka hii maana wahenga ndio wanapigo za namna hii
Mi juzi alikuwa anahama jamaa hom Alikuwa na TV la chogo nchi 24 akasema anataka kuniachia nilikataa nikamshauri akalipasue tu au auze hata buku tano akanywee maji safarin wew leo unaleta humu kuuza?
Vpo mtoni kijichiLocation please
La vyombo nahis ni mchinaYani la vyombo bei rahisi kuliko la tv[emoji23]
Kama Jamaa bado analo hilo TV nalitaka nimpoze kama hutojali Niko darmmmh huyu tuangalie umri wake hawez wa miaka hii maana wahenga ndio wanapigo za namna hii
Mi juzi alikuwa anahama jamaa hom Alikuwa na TV la chogo nchi 24 akasema anataka kuniachia nilikataa nikamshauri akalipasue tu au auze hata buku tano akanywee maji safarin wew leo unaleta humu kuuza?