Mimi sio mnywaji wa soda ili nikitupia naweza kujua tatizo haraka sana...hao Fanta ni kama zile juice za kuchanganya na unga unaongeza maji tuu...jamaangu alisema hizi hazijapita kwenye mashine mbona hakuna radha kabisa..
Atleast uwe unakunywa juice tena ya kutengeneza mwenyewe(juice ya matunda) ni nzuri sanaa na ni inakupa afya njema .. Mimi nimeacha kunywa soda siku nyingi sana, Hata nikiwa njiani nitakunywa apple punch.
Toka afe Mengi Coca-Bonite zimekuwa adimu baadhi ya sehemu, na maji ya kilimanjaro yamekuwa hayapatikani, siku hizi karibu kila duka au bar ukienda wanasema hawana maji ya kilimanjaro