Soda za Coca Cola haziko sawa

Cocacola ni sawa na chai ya rangi ya baridi tu.
 
Labda kuna njemba ametumia akili 'kui-sabotage' c'cola ili biashara yake ipande. Bongoland hii!
 
Rwanda wao wana ladha kama zamani , halafu wana fanta lemon pia huku ilikuwa discontinued kitambo sana .
 
Cocacola ni sawa na chai ya rangi ya baridi tu.
Product ikiwa ya mzungu, ukamuachia mbongo under license basi quality control inakuwa hakuna.

Hao Coca cola wana brand yao inaitwa Schweppes sionagi bongo, ila kwa refreshment mdomoni ndio number one choice kwangu.
 
Wauza soda kuna muda tunaonekana mbinu juz kat nimechukua crate kadhaa nafka shop nakuta zmelegea vifuniko yaan unaweza fungua kwa mkono tu
Ndio soda za sasa inaonekana zinavuja gesi, vifuniko vinatoka kwa wepesi sana na ni soda zote za coca cola kwanza

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Atleast uwe unakunywa juice tena ya kutengeneza mwenyewe(juice ya matunda) ni nzuri sanaa na ni inakupa afya njema .. Mimi nimeacha kunywa soda siku nyingi sana, Hata nikiwa njiani nitakunywa apple punch.
 
Angalau zile ambazo zina MAANDISHI MEUPE bila ile background ya RANGI NYEKUNDU ndio ziko vizuri.
 
Naungaa mkono hojaaa coca cola ya dar imepoteza latha na haina testi yake halisi nitofauti na ya mwanza, na kilimjaroo....mpk nimeachaa kutumia hiki kinywaji changu pendwa ni kiwa dar..
Ni wakati wa campun ya coca cola kwanza dar kujitafakarii...
Kuna sehemu na hisii hapako sawa ndani ya campun ya coca cola kwanza...
Wanazitia dowa soda zote za coca cola.
 
Coca-cola wanabebwa na matangaxo tu, lakini kwenye quality walishazikwa kitambo sana
 
Hivi kuna tofauti kati ya coca diet na coca zero?
Hakuna tofauti ni kitu kimoja, tofauti yake ni maneno tuu "zero" inatumika na kampuni ya Cocacola ( Coke Zero) na " diet" inatumika na kampuni ya pepsi ( Pepsi diet).
 
Wenyewe wanakwambia unakunywa brand siyo quality 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…