Hivi kwanini sisi wa uswahilini tukitembelewa na mgeni lazima tuanze kuhangaika kumnunulia mgeni soda?
ni nani aliuanzisha huu utaratibu?kwani wageni nao huwaga hawawezi kunywa hata maji tu?
Kumkaribisha mgeni kwa kumpatia chochote kitu ni moja ya tamaduni kuonyesha ukarimu wa nyumba flani vijijini utapewa kahawa or chai kimjinimjini ndotunapeana soda/juice