Socio-economist or accountant

nmf

New Member
Mar 12, 2010
4
0
EMPLOYMENT OPPORTUNITY

In the process of consolidating the activities related to CEFA NGO in Ikondo Ward (Njombe District), and with special reference to the establishment of a Micro-financial Institution, the partners of Cefa Ikondo Project wish to inform the general public about the following employment opportunity for one:

Job Title: Socio-economist / Accountant

Duty Station: Ikondo Ward

Duration of the Assignment: 1 year, with possible extension

Starting Date: 13/04/2010

Specific Duties / Responsibilities:
§ promoting the creation of a Committee for the Micro-financial Institution’s Management, and supporting the training of its members;
§ collecting information for the establishment of the Credit Institution; supporting the drawing of its statute and regulations and assisting its registration, according to the in force tanzanian laws;
§ planning and running the micro financial activities and their promotion within the Ward;
§ assisting the beneficiaries for the drawing up of business plans, prior to the granting of the requested credits;
§ daily cash and general accounting activities (issuing and collecting credits, maintaining books of accounts, passing entries on work-sheet file, etc);
§ producing on a regular basis reports and assessments about the extent of granted credits, their restitution by beneficiaries, the trend of economical benefits achieved by local communities, etc.

Required Qualifications and Related Experience:
§ should posses a Degree or Advanced Certificate in Economics or Social Sciences , issued by a recognized Academic Institution;
§ should have experienced at least 6 months; former, proven job experiences and/or internships pertaining to micro-financial activities are a preferential condition;
§ ability in conducting training and capacity building sessions;
§ teamwork ability in multicultural contexts, with project staff and local partners;
§ computer knowledge;
§ proficiency in written and spoken English.

Payment / Salary:
Attractive from the onset of tenure, and adjustable during the tenure to accommodate increased cost of living.

Mode of Application:
Invitation is hereby given to qualified Tanzanian citizens to apply for the post.
If you posses the cited qualifications send your application, by specifying the position you are applying for, together with detailed CV, copy of certificates; it is required the scanning of each certificate. Applications not accompained by the requested documents won't be considered valid.
Furthermore it is necessary to leave your telephone number in order to allow us to get through to you as soon as possible.
Send transcripts and names of three references to:

e-mail only: cefa.ikondoproject@gmail.com

Deadline for application: 29/03/2010

-----------------------------------------------------------------------------------

NAFASI YA KAZI

Katika mchakato wa kuimarisha shughuli zinazohusiana na shirika la CEFA kwenye Kata ya Ikondo (Wilaya ya Njombe), hasa kulingana na mpango wake wa kuazisha taasisi ya kutoa mikopo midogomidogo (microfinance), wanachama wa mradi wanapenda kuutarifu umma kuwa kuna nafasi moja ya ajira:

Madaraka ya Kazi: Mtaalamu wa Uchumi wa Jamii / Mhasibu

Kituo cha Kazi: Kata ya Ikondo

Muda wa Mkataba: mwaka mmoja. Itakuwepo nafasi ya kuongeza muda utakapoisha mkataba wa kwanza.

Tarehe ya Kuanza Kazi: 13/04/2010

Majukumu Maalum:
· kuhamasisha uundaji wa Kamati ya kuongoza taasisi ya mikopo, na kushiriki katika uelimishaji wa wanachama wake;
· kukusanya taarifa za kufaa ili kuanzisha taasisi ya mikopo, kusaidia uandishi wa masharti ya chama na kanuni zake, na kuwezesha uandikishaji wake kisheria, kwa kufuata sheria za Tanzania;
· kupanga na kuendesha shughuli za taasisi ya mikopo, na kuzitangazia kwenye Kata;
· kuwasaidia waombaji katika kazi ya kuandaa mpango wa biashara wao (business plan), kabla mikopo haijakubalika;
· kufanya shughuli za mwasibu na keshia za kila siku (kutoa na kupokea mikopo, kutunza kumbukumbu za salio, kuingiza kumbukumbu ndani ya kompyuta, n.k.);
· kuandika kwa utaratibu taarifa na ripoti zitakazohusu kiasi cha mikopo iliyotolewa, urudishwaji wa madeni toka kwa wakopaji, maendeleo ya ufanisi wa kiuchumi kwa jamii ya Kata, n.k.

Uzoefu wa Kazi na Vigezo vya Kuzingatia:
· Shahada au Cheti cha Elimu ya Juu katika Uchumi au Maendeleo ya Jamii, kutoka kwa Chuo cha Elimu kinachotambulika;
· uzoefu wa kuanzia miezi 6 na kuendelea; wenye uzoefu wa kazi au majaribio (fieldwork) katika mambo ya utoaji wa mikopo midogo (morofinance), watapewa kipaumbele zaidi;
· uwezo wa kuongoza semina za kuelimisha watu na kuhamasisha wao;
· uwezo wa kazi ya pamoja na mahusiano, katika mazingira ya tamaduni mbalimbali, pamoja na timu ya mradi, jamii inayozunguka, na taasisi zinazoshirikiana;
· uwezo wa kutumia compyuta;
· ujuzi wa kiingereza, cha kuandika na kuzumgumza.

Malipo / Mshahara:
Malipo mazuri ya kuendana na madaraka ya kazi. Marekebisho yatawezekana wakati wa kazi, ili kujikimu na gharama ya maisha inayoongezeka.

Namna ya Kuomba:
Watanzania wenye vigezo wanakaribishwa kuomba nafasi hii.
Kama una vigezo vilivyotajwa, tuma barua ya ombi, ukitaja kwa uwazi nafasi gani ya kazi unayoomba, pamoja na CV na kopi za vyeti vyako vya elimu (scanned documents). Maombi yatakaofika yakiwa hayajaambatanishwa na vyeti vilivyotajwa hapo juu, hayatapokelewa. Pamoja na hiyo ni lazima kuandika namba ya simu, ili kurahisiha mawasiliano, na majina ya wadhamini watatu.

Vieti vyote vitumwe kwa:
barua pepe: cefa.ikondoproject@gmail.com

Tarehe ya Mwisho kwa Kutoa Ombi: 29/03/2010
 
Tarehe ya kuanza kazi ....13/03/2010 .....mwisho wa tangazo.....29/03/2010.......?????????
 
Ndugu zangu huyu mzungu wangu ni noma hajui kiswahili sawasawa alikuwa anamaanisha tarehe ya kuanza kwa tangaza (advert date) na siyo kuanza kazi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom