Social Network ipi Ipo thabiti?

Social Network ipi Ipo thabiti?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,251
Reaction score
11,926
Kwa upande wangu jf inanipa elimu safi kupitia maoni ya watu thabiti tofauti na facebook,flickr,instergram,tweeter,tango,2go,peperonity,we chat na zingine.We Mdau unaonaje??
 
Kwa Upande Wangu Jf Inanipa Elimu Safi Kupitia Maoni Ya Watu Thabiti Tofauti Na Facebook,flickr,instergram,tweeter,tango,2go,peperonity,we Chat Na Zingine.We Mdau Unaonaje??

mkuu itakua kweli kwa upande wako si umejihakiki!

kikatio unacho?

piga kura uchague kazi tu, hautakua na muda wa kuzunguka kote huko kwa kuwa waalimu wako watakua wanahudhuria vipindi.
 
Kuna Kupumzika Pia
 
Jf ndo kila kitu! Hao wengine humegewa kutoka Jf!
Tatizo tu la Jf ni kuwa saver zake ziko bongo hivyo watawala wabovu wanaweza kuingilia Uhuru wetu maana huwa hawapendi kuambiwa ukweli! Ukweli kwao ni kashfa!!!!!!
 
JF iko poa, na since ni ya home inakuwa bab'kubwa zaidi. Shida ni moja kubwa, huna control ya kuchagua una-interact na watu wa aina ipi kama ilivyo kwenye hiyo mitandao mingine uliyoitaja. Kwingine una uhuru wa kuchagua nani aone unachosema, na ni nani uone anachosema. Humu unaweza sema ABC, kuna great thinker ataelewa XYZ, halafu since wengi hawajui kutengeneza hoja, wanakujengea chuki na kuku-attack.

Binafsi nitakuwa Twitter, IG, n.k. miaka yote. Siwezi kusema nitaendelea kuwa JF mwakani muda kama huu. Kadiri umri unavyosogea, energy pia ya kukomaa na vibes za hii mitaa inapungua. Unless, kutakuwa na mabadiliko.
 
Mmmmmh Paulo, "till JF do us apart"
 
Back
Top Bottom