Social medias are there to stay

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,158
Reaction score
866,399
As long as binadamu watakuwepo basi hata mitandao ya kijamii itakuwepo mimi naandika leo hapa wewe unaandika yule anaandika walishaandika wengine kitambo, Leo hawapo tena, nasi kuna siku tutatoweka lakini social media zitakuwepo as long as kuna watu watakuwepo
Ichukie ipende ikejeli ama isifu haitokaa ife, na hata Kama kuna baadhi itafungiwa ama kufishwa bado itaibuka mingine yenye maudhui yale yale

Social medias ni kama maji usipoyanywa utayapikia usipoyapikia uatogea usipoyaogea utayatumia kwa matumizi mengi tu, HUWEZI KUYAKWEPA MAJI HUWEZI KUIKWEPA MITANDAO HURU YA KIJAMII

ukiwa mweledi ukiwa na tafakuri ukiwa na dira ukiwa na mikakati bora, ukiwa na mgawanyo wa madaraka kwa usawa, ukihukumu kwa haki na kutenda kwa akili social medias ni kioo kizuri kwako kukuongoza kule utakakokenguka na sometimes hata kuteleza

Lakini ukiwa kiburi na kushupaza shingo, ukiwa katili na mkorofi, ukileta one man show na mambo yote yanayoichukiza jamiii.. My friend jiandae your days are numbered.....

Utachachuka mdomo na kukunja ndita mwisho utaishia kwenye anguko kuu huku ukiziacha social media zikipeta... Ukigombana na social medias umegombana na jamii umegombana na wapiga kura wako.... Kumbuka hakuna popote duniani mmoja alishinda wengi
 
Ujumbe mzuri sana huu namwomba mod asiufute ukae kae hili fundisho tosha mkuu mshana barikiwa baba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…