Social media marketing

Social media marketing

Poseidone

Senior Member
Joined
Jun 6, 2024
Posts
106
Reaction score
170
Wazee habarini.

Aisee kwa wale waliokuwa wanatangaza matangazo kupitia facebook,google,toka wafanye mabadiriko yao mambo yamegeuka na kuwa magumu sana.

Yani unatangaza hupati matokeo kabisa,tupeane mbinu ndugu,tutoboe hii..zote na matangazo ya google
Najua humu wapo walioyawezea.
 
matokeo makubwa utakayopata ukisponsor labda waulizaji tu ila sio wateja nimeacha upuuzi
 
Ngoja wataalamu waje
Naona wataalam wa
matokeo makubwa utakayopata ukisponsor labda waulizaji tu ila sio wateja nimeacha upuuzi
Mkuu,ukiangalia zamani ilikuwa uki sponsor matokeo unayaona ndani ya sekunde aisee...saizi kuna mabadiriko yametokea..so kuna namna ya kufanya ili upate matokeo.

Tupambane tupate hizo njia,tusikate tamaa
matokeo makubwa utakayopata ukisponsor labda waulizaji tu ila sio wateja nimeacha upuuzi
 
Shida kubwa ya Watanzania ni uaminifu mdogo na ujanja ujanja wa kijinga,mtu una angalia tangazo la bidhaa na kuweka order Cha kushangaza mtu anatuma mzigo sio.
 
Upuuzi mwingi uko hapa... Inafika hatua hata ukiuliza swali kwenye comment hujibiwi.. 🙂 🙂.
 
USHAURI KWA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA: JINSI YA KUPATA WATEJA KUPITIA MATANGAZO YA SOCIAL MEDIA (2025 STYLE)

Wafanyabiashara wenzangu wa Bongo, ukweli ni huu: dunia ya matangazo kwenye social media imebadilika sana. Kama bado unatumia mbinu zilezile za 2020, utakuwa unateketeza hela zako bila kupata wateja.
Huu hapa ni ushauri, kwa wale wanaotaka kutoboa kupitia Facebook, Instagram na Google Ads:

1. Ongeza Ubunifu

Watu hawataki kuona bidhaa tu. Wanataka story, emotions na impact.
  • Tumia video zenye mtu wa kawaida (mtumiaji) akielezea bidhaa yako
  • Elezea shida → suluhisho → maisha yalivyobadilika baada ya kutumia huduma/bidhaa yako.
Mfano: Badala ya ku-post lotion yako tu, tuma video ya mama akisema:
“Ngozi yangu ilikuwa inachubuka kila wakati... lakini sasa Lotion hii imenifanya nijiamini tena!”

2. Badala ya Kupeleka Watu WhatsApp, Tumia Landing Page

Unapoweka link moja kwa moja ya WhatsApp, unawapoteza watu wengi.
  • Tengeneza landing page yenye maelezo mafupi, picha, ushuhuda, na form ya kujisajili au order.
Mfano:

“Pata skincare guide bure – Weka namba/email yako hapa…”
Baadaye tumia WhatsApp/email kumuuzia kwa utulivu.

3. Retargeting Ndio SIRI YA WATEJA KUJIRUDIA

Mara ya kwanza mtu hawezi kununua mara nyingi. Unahitaji kumfuatilia (retargeting):
  • Wametembelea page yako?
  • Wametazama video yako hadi mwisho?
  • Waliulizia lakini hawakununua?
Wape matangazo ya pili ya "bado una muda kupata offer yetu ya mwisho leo!"

4. Google Performance Max – Usiipuuze

Google sasa ana offer ya campaign moja ambayo inatangaza:
  • YouTube
  • Search
  • Display
  • Gmail
    Yote kwa pamoja kupitia Performance Max Campaign.
Ukiwa na e-commerce au landing page, hii ni silaha kali ya kupata wateja wapya bila stress nyingi.

5. Data Ni Mfalme

Hakuna ujanja bila data. Hakikisha:
  • Usidanganywe na "likes" angalia sales, engagement, clicks, na retention.

6. Content + Community + Campaign = Ushindi

Usitegemee matangazo tu. Changanya:
  • Content za bure zenye thamani (mashauri, tips, behind the scenes)
  • Kuongea na community yako kwenye comments na DM
  • Kisha tumia matangazo kufikisha ujumbe kwa wengi zaidi.

MWISHO: Kama unataka matangazo yako ya Facebook/Instagram/Google yalete wateja kwa gharama ndogo, lazima ucheze vizuri na metrics mbili muhimu sana:

1. CTR (Click Through Rate) – Kiwango cha watu wanaobonyeza tangazo lako baada ya kuliona​

2. CPR (Cost Per Result) – Gharama unayotumia kwa kila matokeo (mfano: lead, sale, au click)​

Shukrani kwa maelekezo yaliyoshiba.

Hapo mwisho kabisa gharama si wao wenyewe wanapandisha au kushusha kutokana na matokeo,mfano ukiweka tangazo.mfano cost per messaging ni ghari kuliko cost per click.

Zamani ilikuwa hata ukiweka oicha ya chungwa,ila unatangaza website ya kufanya carting..utapata wateja sana,yani sio wanaojisajili bali wanaonunua.

Hapo tulikuwa tunatumia website visitor,ila now mambo yamechange,wanasema sijui apple wamebadili nini.

Nataka nijaribu hiyo ya google mkuu,tuone huko vipi..wacha wale hela zetu tu kwa sasa naamini ipo siku mambo yatakaa sawa.
 
Ni sahihi.​

Apple iOS Updates – Privacy Is King Now

  • Tangu iOS 14.5, Apple wakaleta App Tracking Transparency (ATT)
  • Hii ilifanya Facebook (Meta) washindwe kufuatilia vizuri user behavior
  • Result? Data targeting imekuwa ngumu, sio za uhakika kama zamani

2. Cost per Result (CPR) hutegemea "Objective" yako

  • Kama unalenga Messaging, Meta lazima ahakikishe ana-make conversation happen – hiyo inahitaji effort na pesa zaidi
  • Kama unalenga Clicks, it's cheaper – lakini sio guarantee kwamba watakuja kununua

Inabidi kuplay smart hapo:​

  • Tumia Traffic (Click) ili upate watu wengi kwenye site yako kwa bei nafuu
  • Kisha ufanye retargeting kwa wanaofika lakini hwanunui
 
Mkuu unaonekana umeiva sana huku

Nikifanya traffic kiukweli napata watu wengi sana wanajisajili,ila hawanunui kabisa kabisa.

Naweza nikaweka 20$ per day ila hadi inaisha unakuta hamna kitu kabisa,retargeting nafanyia traffic hiyo hiyo?

Na vipi kuhusu google,nao wamekuwa affected na hiyo apple updates?

Ni sahihi.​

Apple iOS Updates – Privacy Is King Now

  • Tangu iOS 14.5, Apple wakaleta App Tracking Transparency (ATT)
  • Hii ilifanya Facebook (Meta) washindwe kufuatilia vizuri user behavior
  • Result? Data targeting imekuwa ngumu, sio za uhakika kama zamani

2. Cost per Result (CPR) hutegemea "Objective" yako

  • Kama unalenga Messaging, Meta lazima ahakikishe ana-make conversation happen – hiyo inahitaji effort na pesa zaidi
  • Kama unalenga Clicks, it's cheaper – lakini sio guarantee kwamba watakuja kununua

Inabidi kuplay smart hapo:​

  • Tumia Traffic (Click) ili upate watu wengi kwenye site yako kwa bei nafuu
  • Kisha ufanye retargeting kwa wanaofika lakini hwanunui
 
USHAURI KWA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA: JINSI YA KUPATA WATEJA KUPITIA MATANGAZO YA SOCIAL MEDIA (2025 STYLE)

Wafanyabiashara wenzangu wa Bongo, ukweli ni huu: dunia ya matangazo kwenye social media imebadilika sana. Kama bado unatumia mbinu zilezile za 2020, utakuwa unateketeza hela zako bila kupata wateja.
Huu hapa ni ushauri, kwa wale wanaotaka kutoboa kupitia Facebook, Instagram na Google Ads:

1. Ongeza Ubunifu

Watu hawataki kuona bidhaa tu. Wanataka story, emotions na impact.
  • Tumia video zenye mtu wa kawaida (mtumiaji) akielezea bidhaa yako
  • Elezea shida → suluhisho → maisha yalivyobadilika baada ya kutumia huduma/bidhaa yako.
Mfano: Badala ya ku-post lotion yako tu, tuma video ya mama akisema:

2. Badala ya Kupeleka Watu WhatsApp, Tumia Landing Page

Unapoweka link moja kwa moja ya WhatsApp, unawapoteza watu wengi.
  • Tengeneza landing page yenye maelezo mafupi, picha, ushuhuda, na form ya kujisajili au order.
Mfano:

3. Retargeting Ndio SIRI YA WATEJA KUJIRUDIA

Mara ya kwanza mtu hawezi kununua mara nyingi. Unahitaji kumfuatilia (retargeting):
  • Wametembelea page yako?
  • Wametazama video yako hadi mwisho?
  • Waliulizia lakini hawakununua?
Wape matangazo ya pili ya "bado una muda kupata offer yetu ya mwisho leo!"

4. Google Performance Max – Usiipuuze

Google sasa ana offer ya campaign moja ambayo inatangaza:
  • YouTube
  • Search
  • Display
  • Gmail
    Yote kwa pamoja kupitia Performance Max Campaign.
Ukiwa na e-commerce au landing page, hii ni silaha kali ya kupata wateja wapya bila stress nyingi.

5. Data Ni Mfalme

Hakuna ujanja bila data. Hakikisha:
  • Usidanganywe na "likes" angalia sales, engagement, clicks, na retention.

6. Content + Community + Campaign = Ushindi

Usitegemee matangazo tu. Changanya:
  • Content za bure zenye thamani (mashauri, tips, behind the scenes)
  • Kuongea na community yako kwenye comments na DM
  • Kisha tumia matangazo kufikisha ujumbe kwa wengi zaidi.

MWISHO: Kama unataka matangazo yako ya Facebook/Instagram/Google yalete wateja kwa gharama ndogo, lazima ucheze vizuri na metrics mbili muhimu sana:

1. CTR (Click Through Rate) – Kiwango cha watu wanaobonyeza tangazo lako baada ya kuliona​

2. CPR (Cost Per Result) – Gharama unayotumia kwa kila matokeo (mfano: lead, sale, au click)​

Kuna jamaa yuko China naona anafata hizi nondo hivi hivi, page yake haichoshi.
 
Shida kubwa ya Watanzania ni uaminifu mdogo na ujanja ujanja wa kijinga,mtu una angalia tangazo la bidhaa na kuweka order Cha kushangaza mtu anatuma mzigo sio.
Mkuu,mtu akituma mzigo sio si unaukataa alete mwingine humlipi hela
 
Mkuu unaonekana umeiva sana huku

Nikifanya traffic kiukweli napata watu wengi sana wanajisajili,ila hawanunui kabisa kabisa.

Naweza nikaweka 20$ per day ila hadi inaisha unakuta hamna kitu kabisa,retargeting nafanyia traffic hiyo hiyo?

Na vipi kuhusu google,nao wamekuwa affected na hiyo apple updates?
Kuna factors nyingi sana. Ads retargetting unafanya inakuwa wale walioona tangazo lako ndio audience inakuwa retargetted na sio audience mpya.. hii inakuwa rahisi kuconvert hao wanunue.

Google hawajaathirika kama META, Kwa sababu watu wengi wanatumia Chrome kuGoogle, hivyo google hawaathiriki sana kwenye kukusanya data na taarifa.

Nicheck WhatsApp 0778269593, nitakupa ushauri.
 
a
USHAURI KWA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA: JINSI YA KUPATA WATEJA KUPITIA MATANGAZO YA SOCIAL MEDIA (2025 STYLE)

Wafanyabiashara wenzangu wa Bongo, ukweli ni huu: dunia ya matangazo kwenye social media imebadilika sana. Kama bado unatumia mbinu zilezile za 2020, utakuwa unateketeza hela zako bila kupata wateja.
Huu hapa ni ushauri, kwa wale wanaotaka kutoboa kupitia Facebook, Instagram na Google Ads:

1. Ongeza Ubunifu

Watu hawataki kuona bidhaa tu. Wanataka story, emotions na impact.
  • Tumia video zenye mtu wa kawaida (mtumiaji) akielezea bidhaa yako
  • Elezea shida → suluhisho → maisha yalivyobadilika baada ya kutumia huduma/bidhaa yako.
Mfano: Badala ya ku-post lotion yako tu, tuma video ya mama akisema:

2. Badala ya Kupeleka Watu WhatsApp, Tumia Landing Page

Unapoweka link moja kwa moja ya WhatsApp, unawapoteza watu wengi.
  • Tengeneza landing page yenye maelezo mafupi, picha, ushuhuda, na form ya kujisajili au order.
Mfano:

3. Retargeting Ndio SIRI YA WATEJA KUJIRUDIA

Mara ya kwanza mtu hawezi kununua mara nyingi. Unahitaji kumfuatilia (retargeting):
  • Wametembelea page yako?
  • Wametazama video yako hadi mwisho?
  • Waliulizia lakini hawakununua?
Wape matangazo ya pili ya "bado una muda kupata offer yetu ya mwisho leo!"

4. Google Performance Max – Usiipuuze

Google sasa ana offer ya campaign moja ambayo inatangaza:
  • YouTube
  • Search
  • Display
  • Gmail
    Yote kwa pamoja kupitia Performance Max Campaign.
Ukiwa na e-commerce au landing page, hii ni silaha kali ya kupata wateja wapya bila stress nyingi.

5. Data Ni Mfalme

Hakuna ujanja bila data. Hakikisha:
  • Usidanganywe na "likes" angalia sales, engagement, clicks, na retention.

6. Content + Community + Campaign = Ushindi

Usitegemee matangazo tu. Changanya:
  • Content za bure zenye thamani (mashauri, tips, behind the scenes)
  • Kuongea na community yako kwenye comments na DM
  • Kisha tumia matangazo kufikisha ujumbe kwa wengi zaidi.

MWISHO: Kama unataka matangazo yako ya Facebook/Instagram/Google yalete wateja kwa gharama ndogo, lazima ucheze vizuri na metrics mbili muhimu sana:

1. CTR (Click Through Rate) – Kiwango cha watu wanaobonyeza tangazo lako baada ya kuliona​

2. CPR (Cost Per Result) – Gharama unayotumia kwa kila matokeo (mfano: lead, sale, au click)​

aisee maelezo ni mazuri ila kuna sehemu umeniacha nahitaji msaada
 
Back
Top Bottom