Kwa wakazi wa Arusha town naomba kufahamu ni zipi na wapi zinapatikana social clubs mbalimbali kama Books club, Hiking/adventures clubs, Dogs owner’s club na club nyinginezo za kijamii.
Jmosi karibu Hapa Philips nearby mount meru hotel, kuna club ya golf pia kuna ya meditation. Shida ya hapa ni moja, show off nyingi sana usipokua na hata ka Toyota crown utaonekana kama mlizi tu