Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Baada ya ushindi rahisi dhidi ya team ya mtaani sijui Unga Limited ya Arusha na ushindi wa tabu dhidi ya team dhaifu ya Ligi kuu ya Tanzania Bara JKT Oljoro,uliofatiwa na kulazimisha sare dhidi ya team dhaifu ya Ligi kuu ya Kenya,mfumuko wa wapenzi wa team hiyo ulitokea hapa Jukwaani wakija na tambo tofautitofauti huku wakipewa support kubwa na magazeti kwa kauli mbalimbali mara Akuffor nini-nini sijui,Ngassa nini-ninisijui(maskini watamchosha sasa hv Ngassa wa watu) wengine mambo ya Keita Twite na Yondani tupa kule......maskini,sijui watamwacha nani na nani baada ya kipigo hiki cha aibu, sijui, ninachofahamu rafiki zangu Masuke,Lucifer,Crashwise,PrN Kazi to mention but few,watapotea sana na itawachukua muda mrefu kabla ya kuja kubwabwaja tena hapa pale Simba itakapocheza mechi nyingine ya kirafiki didi ya team ya mchangani na kupata ushindi.
Ninaanza kujiuliza maswali kadhaa wa kadhaa,labda wadau mjiunge nami katika kujiuliza,hivi leo wangeteremka uwanjani wale watoto wa Matola pamoja na kudhurumiwa zawadi zao wangefungwa goli hizi zote kweli?, I doubt....
Je hali hii haiwezekani kuwa laana ya Watoto wa Matola imeongezea pale ilipoishia ya Jembe Mafisango kweli, najiuliza pasipo majibu,mwenye majibu anaweza kunisaidia....tafadhali...
Namalizia kwa kusema am going to miss my best friends hapa jukwaani,kwani lazima Wachanganyikiwe.