So sad! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

So sad!

Discussion in 'Sports' started by Anselm, Sep 6, 2012.

 1. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Baada ya ushindi rahisi dhidi ya team ya mtaani sijui Unga Limited ya Arusha na ushindi wa tabu dhidi ya team dhaifu ya Ligi kuu ya Tanzania Bara JKT Oljoro,uliofatiwa na kulazimisha sare dhidi ya team dhaifu ya Ligi kuu ya Kenya,mfumuko wa wapenzi wa team hiyo ulitokea hapa Jukwaani wakija na tambo tofautitofauti huku wakipewa support kubwa na magazeti kwa kauli mbalimbali mara Akuffor nini-nini sijui,Ngassa nini-ninisijui(maskini watamchosha sasa hv Ngassa wa watu) wengine mambo ya Keita Twite na Yondani tupa kule......maskini,sijui watamwacha nani na nani baada ya kipigo hiki cha aibu, sijui, ninachofahamu rafiki zangu Masuke,Lucifer,Crashwise,PrN Kazi to mention but few,watapotea sana na itawachukua muda mrefu kabla ya kuja kubwabwaja tena hapa pale Simba itakapocheza mechi nyingine ya kirafiki didi ya team ya mchangani na kupata ushindi.
  Ninaanza kujiuliza maswali kadhaa wa kadhaa,labda wadau mjiunge nami katika kujiuliza,hivi leo wangeteremka uwanjani wale watoto wa Matola pamoja na kudhurumiwa zawadi zao wangefungwa goli hizi zote kweli?, I doubt....
  Je hali hii haiwezekani kuwa laana ya Watoto wa Matola imeongezea pale ilipoishia ya Jembe Mafisango kweli, najiuliza pasipo majibu,mwenye majibu anaweza kunisaidia....tafadhali...
  Namalizia kwa kusema am going to miss my best friends hapa jukwaani,kwani lazima Wachanganyikiwe.
   
 2. M

  Maswalala Senior Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anselm labda cha kuwasaidia hawa jamaa inabidi watu kama nyie mjitolee kugombea uenyekiti pale msimbazi uchukue nafasi ya "msema hovyo hovyo aka Maharage" maana inaonekana jahazi linamshinda na linaelekea kuzama na jamaa anavyojua kuutumia mdomo wake atawapoza mashabiki wake kwa kuwaambia "mashabiki na wanachama nawapenzi wote wa simba msikate tamaa na matokeo haya kwani kocha bado anaijenga timu"... ohoo cjui timu yetu ni nzuri yaani full bla bla na siasa za kutosha...surely hawa watu wanahitaji kusaidiwa kuongoza klabu yao hapo hamna viongozi
   
 3. M

  Maswalala Senior Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anselm labda cha kuwasaidia hawa jamaa inabidi watu kama nyie mjitolee kugombea uenyekiti pale msimbazi uchukue nafasi ya "msema hovyo hovyo aka Maharage" maana inaonekana jahazi linamshinda na linaelekea kuzama na jamaa anavyojua kuutumia mdomo wake atawapoza mashabiki wake kwa kuwaambia "mashabiki na wanachama nawapenzi wote wa simba msikate tamaa na matokeo haya kwani kocha bado anaijenga timu"... ohoo cjui timu yetu ni nzuri yaani full bla bla na siasa za kutosha...surely hawa watu wanahitaji kusaidiwa kuongoza klabu yao hapo hamna viongozi
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Nimepotea Njia naona! wacha nipige Reverse!
   
 5. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Anselm: mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa ni nini kipo nyuma ya pazia kwa Simba hasa inapokuwa inacheza Uwanja wa Taifa, vilevile uwezo wa kufikiri na kupokea maelekezo kwa wachezaji wetu wa Simba. Labda kama wamefanya makusudi kuwapotezea wana-Yanga na Azam wasielewe mbinu zao mpya walizotoka nazo Arusha lakini kama si hivyo naweza kusema technical bench wote wameshindwa kazi.

  Anselm, wana Simba tupo hatuwezi kukimbia jukwaa kwa hizi mechi ambazo imeteleza lakini sema neno moja tu kwamba bado ''tunatafakari''
   
 6. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Maswalala hawa Jamaa zetu ni Wabishi sana,kila unapojaribu kuwasaidia sanasana utaishia kutukanwa na kuambiwa fuata ya kwako, lkn pale pana tatizo tena kubwa sana lkn hawaoni bwana,yaani utafikiri Wamerogwa..shauri yao,mimi sasa hv natamani hata tungekuwa tunafungua nao mchezo wa kwanza wa Ligi,labda hapo ndo wangefunguka macho.
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwasababu umeona ina udhaifu ndo unatamani ukutane nayo mapema siyo! huna uhakika na kikosi chako mzee?
   
 8. M

  Masuke JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mlipeni kwanza kocha wenu mshahara wake ndo muanze kuongea ya kwetu.
   
 9. J

  Joo Wane JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 14, 2007
  Messages: 348
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Yatasemwa mengi ila nawaomba viongozi wa Simba wafanye yafuatayo:

  1. Walipeni madogo pesa zao.
  2. Pelekani pesa za rambi rambi za Mafisango mlizotafuna na muombe msamaha hadharani.
  3. Mlipeni Yondani mgao wake (wa haki) kwenye zawadi ya ushindi wa ligi kuu hata kama mna bifu nae la usajili haki yake mpeni.

  Hivi Rage na Kaburu hamjiulizi tu pamoja na timu kukamilika kila idara bado jana mmechezea 3 oclock. Haki ya mungu msipofanya hivyo hiyo laana itaendelea kuitafuna simba mpaka kwenye ligi. Hivi na huyu Kamwaga simba walimuokotea wapi. Yule msemaji wa zamani was the best.
   
 10. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Umeona enh....?
  Namjua Ndimbo vizuri sana,nimekuwa naye mtaani Jamaa alikuwa vizuri mno,intergrity yake ilimfanya ashindwe ku'match na utumbo wa MahaRage na Kaburi na ndo maana MahaRage alimtimua akamwajiri huyu MsemajiOvyo wao Kamwaga sijui Kimwaga,yaani Jamaa ndo "0" kabisaa.
   
Loading...