So sad aisee!

Duuh nimeambulia tu....eti cjui mganda wangu nimemwambia nn cjui amekataa..deshi deshi jaman
 
Mganda wange ayagala alina silimu. nageza kumugamba, nayegana. kakti alinachisipi........................Banange!
sasa kama unahisi kaukwaa si umwambie aende akapime tu................................Genda omugambe okebere omusai!
 
Ndio mjifunze.............Anasema kuna ndugu yake anatembea na muathirika na amemuonya lakini anakanusha, na sasa anaumwa mkanda wa Jeshi.
Khaaaa,
Pole zake,
Asa kwan hajui kiswahili akatuandikia kwan wengi watafungua wakiona hiyo makitu wala hawatachangia kwan wanakuwa hawajaelewa kitu!!
Au basi aandike hata kiinglishi tuokoteze okoteze!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom