bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 803 Jun 18, 2011 #41 Tangawizi said: kweli hii dunia ina watu sio mchezo...hivi hivi unatoa namba ya simu kama njugu???? Click to expand... ndo maana wewe ukaitwa tangawizi na mwenzako akaitwa emoshi.....................
Tangawizi said: kweli hii dunia ina watu sio mchezo...hivi hivi unatoa namba ya simu kama njugu???? Click to expand... ndo maana wewe ukaitwa tangawizi na mwenzako akaitwa emoshi.....................
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 803 Jun 18, 2011 #42 Ashadii said: Bacha umegundua huwa unaniuzia saana kesi...lol Click to expand... Asha mimi na wewe tuna hiyana kweli? kumbuka zimwi likujualo halikuli likakwisha...........................
Ashadii said: Bacha umegundua huwa unaniuzia saana kesi...lol Click to expand... Asha mimi na wewe tuna hiyana kweli? kumbuka zimwi likujualo halikuli likakwisha...........................
AshaDii Platinum Member Joined Apr 16, 2011 Posts 16,189 Reaction score 18,117 Jun 18, 2011 #43 bacha said: Asha mimi na wewe tuna hiyana kweli? kumbuka zimwi likujualo halikuli likakwisha........................... Click to expand... ha ha ha... hiana hatuna bana, mimi naona niachane na hii topic labda unipe habari ya kona uliopo wkend hii....lol Naamini mwenye uzi kalala...
bacha said: Asha mimi na wewe tuna hiyana kweli? kumbuka zimwi likujualo halikuli likakwisha........................... Click to expand... ha ha ha... hiana hatuna bana, mimi naona niachane na hii topic labda unipe habari ya kona uliopo wkend hii....lol Naamini mwenye uzi kalala...
Gagurito JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 5,600 Reaction score 811 Jun 19, 2011 #44 Unataka mademu tu? huo sio upweke bt ni UKWIRU! zinakupanda bt huna ujanja teh! Pole bwana!
Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,971 Jun 19, 2011 #45 Ashadii said: ha ha ha... hiana hatuna bana, mimi naona niachane na hii topic labda unipe habari ya kona uliopo wkend hii....lol Naamini mwenye uzi kalala... Click to expand... mwenzenu ana upweke
Ashadii said: ha ha ha... hiana hatuna bana, mimi naona niachane na hii topic labda unipe habari ya kona uliopo wkend hii....lol Naamini mwenye uzi kalala... Click to expand... mwenzenu ana upweke