Mkuu wanahusika na nini hao? Ningependa kujitolea pia. Nina social science degree (Psychology).
Wana deal na vitu vingi hasa project za kimaendeleo nenda google search snv world tanzania utapata shughuli wanazozifanya, alafu km upo dar ni vizur ungeenda ofisin kwao kabisa!! Ukiingia kwenye website yao utaona na physical location yao