terrat
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 204
- 100
Ndugu zangu poleni na shughuli za ujenzi wa taifa, nimeona nijaribu Ku discuss na nyie kuhusu yanayompata snura,
Kiukweli naamini kabisa kuwa matendo yako yanaweza kuwa chanzo cha matatizo yako!
Namsemea Dada yangu snura juu ya majanga yanayompata....
Snura katika nyimbo zake zaidi ya mbili kweli zinauza kuendana na soko na aina ya Wateja alionao! Lakini kimaadili nyimbo zake hizo ni chafu na ni kinyume cha maadili ya kitanzania, wala hajaonewa!!
Nakubaliana na usemi kuwa matendo yake yanampelekea kuwa na matatizo!
Je
Ni kweli kuwa snura hana swaga mpya za kumtoa!?
Snura tayari ni msanii mkongwe wala hastaili kufanya mambo ya kuipotosha jamii kwa ulimbukeni was namna hiyo!
Wanao amini wengi husema kuwa ukiwa unajinenea laana basi laana hizo zitakupata na kukufuata! Kwa snura basi majanga Yale yaliyo muweka katika ramani yanampelekea kuwa katika mayanga kibao!
Mungu amsaidie na ampe idea mpya ya kumpatia kipato maana kweli muziki unamkataa au arudi tu kwenye movie zao za kibongo acheze nafasi ya jini kama inavyompendezea!
Ni hayo tuuu