SNOWDER ; Global technology giant #Microsoft has been working closely with CIA,FBI .FOR SPY INFO.

SNOWDER ; Global technology giant #Microsoft has been working closely with CIA,FBI .FOR SPY INFO.

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
Whistleblower Edward ‪#‎Snowden‬ has provided proof that Global technology giant ‪#‎Microsoft‬ has been working closely with US intelligence agencies, including the National Security Agency and the FBI, to make sure all of their customers can be spied on, according to the Guardian newspaper.

The newspaper says that the documents provided by Snowden show that Microsoft helped the ‪#‎NSA‬ bypass the company's encryptions to intercept web chats on Outlook.com.

Microsoft denied the allegations in a statement released on Thursday.
 
Microsoft wanajua wakikubali watayumba katika soko hivyo sidhani kama wangekiri kukishirikiana na NSA au FBI
 
Hili jambo lina ukweli, na Microsoft hawezi kulikubari kwasababu soko lake linaweza kushuka au kupata misukosuko, ingawa kwa nchi makini katika Idara za ki usalama hii kwao sio issue walisha tambua hii kitu kabla ya Snowden hajasema na ndio maana wanatumia OS zao wenyewe, mfano kama Russia, China na hata Iran..
 
Du he he he he lakini kwa vyovyote hata kama company ikikataa lazima maspy wa NSA,CIA na FBI ni wengi tu ambao ni waajiliwa wa haya makampuni
 
wangekuwa wazi tu kama wachina ambao ukitumia mitandao kama Skype kwao kuna notification kabisa inayosema you are being monitored. kuliko ooh freedom freedom kumbe hamna kitu.
 
na snowden anayasema haya yote kwa faida ya nani?....kwa nini asingegoma kuajiriwa na NSA mwanzoni kabisa?
 
This is ridiculous.!
BUT AT THE END OF THE DAY SNOWDEN WILL BE TRAPED B'COZ HE IS A TRAITOR.!
 
na snowden anayasema haya yote kwa faida ya nani?....kwa nini asingegoma kuajiriwa na nsa mwanzoni kabisa?
freedom in inteligency
 
na snowden anayasema haya yote kwa faida ya nani?....kwa nini asingegoma kuajiriwa na NSA mwanzoni kabisa?
HAlafu wewe nani angekujulisha kuwa hili linatukia kama yeye asingeajiriwa ,angepata wapi ushahidi?
 
Mbona hili jambo liko wazi kabisa... Microsoft ni agent wa NSA...
 
na snowden anayasema haya yote kwa faida ya nani?....kwa nini asingegoma kuajiriwa na NSA mwanzoni kabisa?

Alikuwa bado hajapata alichouwaanakitafuta ailiaweze kuunganisha dots for the maxmum, nilikuwa naangalia ikiiwa atajsalimisha adhabu yake ni kifungo kisichopungua miaka kumi na fine ya $250,000/=
 
HAlafu wewe nani angekujulisha kuwa hili linatukia kama yeye asingeajiriwa ,angepata wapi ushahidi?

mwenye akili timamu yeyote anajua kuwa siku hizi simu zinarekodiwa na ndiyo sababu hata hapa tz ililazimu watu kusajili line zao kama vile ttcl kila namba ilijulikana. So huhitaji kulishwa na mtu mwingine. Ujue kuwa limited kwa unayoropoka unapokuwa kwenye simu.....anapoteza muda tu for his own disadvantage ndiyo maana kila anakokwenda anatupiwa virago
 
Back
Top Bottom